Zidani
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 970
- 3,940
Naona nombuso atafanya ayanda arudi kanisani ๐๐๐
Ayanda dizaini flani Kama vile alipagawa Sana baada ya yule binti kuja maskani kwao by the way msela akimuacha yule binti[nkule] itakua ni ujinga Sana.hahaha kabisa nasubiri iyo siku maana sio kwa kashfa zile za ayanda kwenye ile kwaya๐