Uzalo Special Thread

mzee wa mikunjo our Own..
c3e78006221d652d441887fc914d2948.png
 
pastor saizi kaanza kuwa miyeyusho
Mpango uliobaki ni pastor kumchoma mastermind akamatwe abinywe ataje yote kumkamata xulu.
Sasa anajifanya eti ohh dada zake master wataishije?
Muda mwengine watu wa mungu pia ni chanzo cha familia nyingi kuteseka..
Pastor wangu hapa anazingua.

Naona kabisa ayanda anapigwa gepu na mxolisi.. Nombuso anapelekwa beach sasa tunda linaliwa kiulainiiii pesa sio powa..
Ayanda kisa nombuso mpaka kaamua kurudi kuimba kanisani.. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ na wamempiga chini ..

Sasa nawaza xulu mwenyewe kaamua kuendesha biashara legal tena yard scraper anaitoa, watamkamataje?

Kiukweli roho inaenda mbio mxolisi anaweza kumuingiza hasara mzee wake.
Mapesa mengii yaani dah
 
pastor nae anaboa tu angeachana na mambo hayo maana anapoelekea itakuja kumkost.
Kweli mda mwingine pesa inaongea nombuso kwa mxolisi kiulainiii
Ayanda nataka azidi kuonja joto la jiwe...asipokelewe kiurahisi
 
pastor anatumika na dhlomo pasipo kujijua ameanza kuwa snitch na mchomaji watu.. Sio pastor mwenye kuokoa watu.
Ayanda ana tamaa bora mxolisi amchukue nombuso kimoja ayanda anamuumiza nkule..

Xulu kaamua anyooshe maisha yake
 
nimefurahishwa na maamuz ya xulu..natumainia furaha na mwanzo mpya katika familia yake.
Ayanda tamaa imemtawala na ukicheki nkule yupo poa tu..sioni sababu ya ayanda kumkatia wakati nkule anampenda kweli
 
Pastor saivi ameanza kuboa sana.. Amekuwa snitch na mbaya zaidi ameanza kutishiana na xulu live..
Mastermind amepewa asilimia 5 share ni zawadi kubwa kuwahi kutokea na heshima.. Xulu anamkubali sana..

Sasa eti pastor kampa mastermind ofa ya kazi hotelini sijui?
Mbona basi hajamuweka mwanae ayanda?
 
Wakuu mambo ni fayaa
Hili li Richard ni tapeli kama tulivyohisi..
Limewauzia mxolisi na baba yake eneo la serikali..!
Haya yote mxolisi ndio kayataka yaani halafu na mama xulu nae anamfirisi mumewe sasa, mambo ya ma party sijui manini..Mara French champagne.. Bado ayanda nae anataka udj..

Pastor nae hakomi tu sema nimependa pale mastermind alipomchana pastor ukweli, kwamba xulu ndio amemlea alimchukua alipokuwa hana kitu, hata yeye pastor hakumsaidia wala majirani..!

Kwa mara nyingine tena xulu watamfilisi jamani..
Na sbu amekamatwa na atarudishwa kwa mashu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Jagiya, Kool and the gang,
 
ni motoooo!! sjui itakuaje kwa xulu au ndio mwanzo wa anguko lake....mkewe nae anapenda matambo sanaa...sio kwa gharama hizo kha!
mastermind kanikosha sana pia kwa yale majibu..nimependa maana pastor alikua mnafki tu.
Nombuso naona anamkubali sana mxo yaani pale kazimaa...๐Ÿ˜…
 
Pastor ni mnafki amekuwa
Mama mxo anapenda vya gharama sana.
Kumbuka Kule church alivokuwa anajitapa
 
Hayaa naona Richard kaamua kuzima na simu kabisa maana hapatikani...
Xulu akiwa hana hofu na kuendelea na mikakati yake bila kujua kinacho endelea kuhusiana na richard..
xulu akiwa kwenye maongezi na ayanda kuhusu party..anamtaka ayanda ahakikishe baba yake hakosi kuudhuria party hiyo hata iweje.
Mxo nae anapata wivu baada ya kumkuta nombuso kanisani wakiwa wanaimba na ayanda...anaonyesha kutopendezwa na jambo hilo kisha kuondoka.
Sbu anafikishwa kituoni na kuwa mikononi mwa dhlomo
mastermind anashikiliwa na afande dhlomo na kupelekwa kituoni..xulu anamuahidi mastermind kuyamaliza yote hivyo asiwe na shaka.
mxo anajaribu kwa mara nyingine kumpigia richard bila mafanikio
 
Back
Top Bottom