Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 217
- 242
- Thread starter
- #21
Mkuu nashukuru sana nimepata kitu kipya hapa.Ongezea mambo mengine kama yafuatayo yanomfanya mtu kuwa mzalendo.
1. Kujitoa na kuwa tayari kufa kwa ajili ya taifa lako.
2. Kutunza siri za nchi na kuzilinda kwa gharama yoyote ile.
3. Kujiona na kujisikia weye ni sehemu ya taifa.
4. Kujivunia utaifa na kuwa tayari kupigia kifua utaifa huo.
5.Kujisifia utaifa wako na kuwa tayari kuutangaza utaifa huo popote pale.
6 Kuweka kumbukumbu na historia ya taifa hilo kwa ajili ya vizazi vijavyo.
7.Kulinda Mali na Rasilimali za nchi na mipaka yake yote.
Namba 1, 2 na 7 ni Usalama wa Taifa vikiwemo vyombo vyake vyote.
Namba 3-7 ni wananchi .
Shukran sana