badshah
Member
- Mar 16, 2013
- 51
- 32
Kumbuka kuwa:
Staryte - Education, Entertainment & Development - Elimu, Burudani na Maendeleo
- uwongo umesababisha watu kuingia katika uhusiano kimakosa.
- Umesababisha watu kulea watoto wasiokuwa wakwao.
- Umesababisha watu kuhukumiwa makosa yasiyokuwa yao.
- Umesababisha wenye hatia kuonekana hawana hatia.
- Umesababisha watu kudhulumiana.
- Umesbabisha marafiki, ndugu na jamaa kugombana.
- Umesababisha watu kuuana wenyewe kwa wenyewe.
Staryte - Education, Entertainment & Development - Elimu, Burudani na Maendeleo