Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Jamani,kwa wale wenzangu na mimi tulio apply vyuo kupitia tcu,sijui kama tatizo ni langu peke yangu au tuko wengi.ni hivi,hadi kufikia jana kozi zangu zote 6 nilizokua nimeaply zilikua zimeandikwa eligibile,sasa ngoma imekuaja leo,asubuh hii nikawa najaribu kulog in ili nichek kama kuna chochote kipya.nimekuta my 1st choice ambayo ni bcom-finance ya udsm nimeandikiwa not eligible..nimeangalia na kwenye account za washikaji zangu wengne,nimekuta wote 1st choice zao zimeandikwa not eligible.hivi kuna mwenye taarifa of what is going on there,maana tunawekana roho juu sana jamani?