Uwiiiiiiiii, TCU mnazidi kunipandisha presha!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jamani,kwa wale wenzangu na mimi tulio apply vyuo kupitia tcu,sijui kama tatizo ni langu peke yangu au tuko wengi.ni hivi,hadi kufikia jana kozi zangu zote 6 nilizokua nimeaply zilikua zimeandikwa eligibile,sasa ngoma imekuaja leo,asubuh hii nikawa najaribu kulog in ili nichek kama kuna chochote kipya.nimekuta my 1st choice ambayo ni bcom-finance ya udsm nimeandikiwa not eligible..nimeangalia na kwenye account za washikaji zangu wengne,nimekuta wote 1st choice zao zimeandikwa not eligible.hivi kuna mwenye taarifa of what is going on there,maana tunawekana roho juu sana jamani?
 
mkuu hata mimi hapo kabla choice yangu ya 5 pekee ilikua not eligible lakini leo asubuhi choice ya 1 imegeuka kua not eligible alaf zingine zote zmebaki eligible..mkuu ninaona hiyo iliyonot eligible ndio 2liposelectiwa sabab nimecheki washkaj zangu wa tatu nao yakwanza pekee ndio not eligible kwaanzia asubuhi hii..!
 
sasa man mbona simple instructions kabisa kwa mtu ambaye anajitayarisha na chuo sidhani kama itakuwa ngumu kuelewa ushasema umeandikiwa not eligible alafu unasema ndipo ulipo kuwa selected ... ??
 
Hata mimi first choice yangu ya bachelor of vertenary medicene ya pale sua leo nimekuta eti not eligeble sasa i dont know what is the problem
 
sasa man mbona simple instructions kabisa kwa mtu ambaye anajitayarisha na chuo sidhani kama itakuwa ngumu kuelewa ushasema umeandikiwa not eligible alafu unasema ndipo ulipo kuwa selected ... ??

halafu huyo eti anategemea kwenda kuanza university education!!!!
 
sasa man mbona simple instructions kabisa kwa mtu ambaye anajitayarisha na chuo sidhani kama itakuwa ngumu kuelewa ushasema umeandikiwa not eligible alafu unasema ndipo ulipo kuwa selected ... ??

mkuu kinachonipa wasiwasi nikwamba kwanini kila mtu ile 1st option pekee ndio iwe not eligible..?
 
aise mazee naona hilo jambo ni kwa kila mtu mazeeeeee maana hata mimi all are eligible except my first option ndio ime kuwa not eligible. But i think siyo gurantiee that utakuwa umechaguliwa huko may nitatizo la kiufundi au site iko down for maintanance au ndio wa upload selection! lets wait
 
Jamani hata mimi hivyohivyo, na cha ajabu zaidi ni hiki ;" unakuta 0 applicants ndo wameweka kama 1st choice. kila kitu kimebadilika. Ngojeni tuone.
 
huu mfumo mpya umekuwa kero kubwa kwa vijana na umekaa kisiasa sana, nashauri warudishe mfumo wa zamani ambapo mtu anaapply chuo anachokitaka & once amesubmit form kinachobaki ni kusubiri selection
 
Utandawazi una shida yyake kweli bo....
 
aise mazee naona hilo jambo ni kwa kila mtu mazeeeeee maana hata mimi all are eligible except my first option ndio ime kuwa not eligible. But i think siyo gurantiee that utakuwa umechaguliwa huko may nitatizo la kiufundi au site iko down for maintanance au ndio wa upload selection! lets wait

wewe 1st choice yako ni nin shehe wangu?
 
sasa man mbona simple instructions kabisa kwa mtu ambaye anajitayarisha na chuo sidhani kama itakuwa ngumu kuelewa ushasema umeandikiwa not eligible alafu unasema ndipo ulipo kuwa selected ... ??

mkuu,tatizo wengi wetu tumeandikiwa 1st choice not eligible,je hiyo technical problem itakua ni kwa kozi ya kwanza tu?
 
ni kweli mkuu lazima kuna technical problem sababu ukichek for eligibility inarudi kuwa eligible..hebu jaribu uone

kwangu nimecheck for eligibility,imerudi vile vile yani not eligible.
 
Hii ndiyo bongoland baba, kama hukuijua ndo unaonyeshwa mitaa ya jiji la bongo. unapompatia mtoto wa miezi sita wembe akunyoe ndevu unategemea nini?
 
Back
Top Bottom