Uwezo wa Roma Mkatoliki kutunga na kuandika nyimbo za harakati za kisiasa na utawala ni mdogo mno

Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.

Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia

Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka

Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Kwani wewe umeandika nini mbona hao waliotunga nyimbo za kuunga juhudi na kumsifia hujawakosoa roma tuu ndo mmeona kaharibu?
Konyo koza.
 
kwa hiyo Hana tofauti na wewe kwa mada zako
 
Sasa kama hakuna meseji ya maana mbona una weweseka

Unauongeleaje wimbo wa Proffesor Jay "Nang'atuka", hajapayuka kweli mle ndani mkuu?
 
Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.

Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia

Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka

Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Unajua Hip Hop wewe! Hip Hop is about reality, No blah blah in Hip Hop. Wewe tunakujua ni Mzee wa kusifu na kuabudu lijiwe, huna jipya. Hujui hip hop labda taarabu.
 
Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.

Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia

Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka

Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Mpaka amemtoa jasho mwakyembe na digrii zake wewe unasema hana uweo wa kutunga nyimbo ?!, angetunga wimbo wa ccm yajenga nchi ungemuona mtaalamu sana sio ?.
 
Hiyo ngoma imesimama sana, umenifanya nianze kuisikiliza upya hapa kwenye daladala
 
Marijani Rajabu :D:D:D:D
''Tuyaache hayo vipi Korosho za Mtwara'' By anaitwa Roma
Umenikumbusha mkuu, jamaa wamejichanganya sana kwenye swala la korosho, jiwe aliiingilia kati kutaka kufanya kazi ambayo haijui, matokeo yake mwaka mzima umepita wakulima hawajamaliza kulipwa, na msimu mwingine huo unajongea, gari moja la JW lilipinduka likateketea.
 
"Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia."

"Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia"

Ndugu mtoa mada naomba unifafanulie maana halisi ya maneno haya "nadharia" na "uhalisia"

maana kauli hizo umezitumia ktk sentensi mbili tofauti ukitoa maana ya ukinzani ilihali zina maana moja.
 
Mimi sio wanamuziki, ila ukweli usemwe
Ww sio mwanamuziki huwezi kumkosoa mwanamziki
Ww sio daktari huwezi kumkosoa daktari katika kutib
Ww sio kocha wala hukiwahi kucheza mpira huwezi kukosoa wachezaji wa mpira
Kujifanya ujuaji wa Kila jambo wakati huna ujuzi nalo ni dalili ya ukichaa
 
Wewe umetumia vigezo gani kutambua huo udogo wa uwezo?

Wewe unadegree ngapi katika mziki wa hip hop Mana tumeambiwa nyie wenye degree nyingi ndo mnaupeo mkubwa wa kupambanua Mambo
 
Back
Top Bottom