Hiyo ilikuwa kazi ya TFDA
Mchezaji wa Simba aliyekutwa na corona yeye hapajui NIMRI?Waongezewe uwezo, wajiamini,
Mungu aliumba dunia na tiba zote kutuzunguka hapo hapo
Nyani, tembo, twiga, simba hawaagizi madawa kutoka nje, they treat themselves naturally huko maporini
Dunia imeumbwa perfect na creator did his job amazingly, superbly
Kujifanya tumesoma, maendeleo n. K tukasahau asili
Corona imetukumbusha, solutions zinaishi na sisi, we. Just need to pay attention, kuresearch na kurithishwa
Vya kuagiza nje viwe technologia
Form Six weye wataka level gani?Rafiki umesoma chemistry mpaka level gani? Umesoma medicinal chemistry?
Remeber we have a drop out Bill Gate who is doing wonders in computer industry although he seems to misuse his gifted talent!Rafiki umesoma chemistry mpaka level gani? Umesoma medicinal chemistry?
soma historia yake ya dropout, it is not that much simple as you are putting it!Remeber we have a drop out Bill Gate who is doing wonders in computer industry although he seems to misuse his gifted talent!
Mkuu medicine unaijua au unasema tuUsilinganishe HIV na virusi vingine.
Hata upate lishe bora ya namna gani ,bila kutumia ARVs utaondoka mapema.
Tatizo lako ndugu unaongea vitu toka hewani huna ushahidi hata mmoja herbs zinavyofanya kazi.Kwahiyo yale maji ya NIMR ya kuchanganya changanya majani na mizizi unaona ndiyo inamaliza Corona kwa kufikiri? Halafu eti unawashauri watengeneze ya kupambana na HIV? Mungu pitisha mbali maana kwa akili zenu hamshindwi kupotoshana.
Sio kweli, akili yako umeishikilisha kwa wazungu ndio maana unadhani tiba lishe na herbs ni upuuzi.Hao waathirika waliogoma kutuma ARV watakipata tu wanachokitafuta.Utakuja kutoa ushahidi hapa.
Jiwe huwa anaanzia mbali sana ili atimize lengo la kuwaangamiza watu wake.Usilinganishe HIV na virusi vingine.
Hata upate lishe bora ya namna gani ,bila kutumia ARVs utaondoka mapema.
Ndugu believe it or not, tiba asili ya huu ugonjwa ipo. Na mimi nimeshuhudia watu wakipona. It takes just 3 months kwa dozi kupona. Na hata kinga ni siku 20 tu mtu anapata kinga ya maisha.Utapotosha watu sana wewe! Ukimwi umeanzia Bukoba kutoka Uganda. Hilo unalilisema Wahaya walilifanya sana kwa vijana wao ambao walianza kuumwa Ukimwi. I was there with my eyes witnessing what was going on with Lishe and other traditional Haya medication. ALL FAILED mpaka with the advent of ARVs!
Usiwe mtu wa jabu, au wewe ndiye Jiwe? all in all, hypocrisy is reigning now in Tanzania, even Jiwe is hypoctite!
Kama kuna dawa za hivyo, why ARVs? Sijawahi ona kifafa kimepona.... sijawahiNdugu believe it or not, tiba asili ya huu ugonjwa ipo. Na mimi nimeshuhudia watu wakipona. It takes just 3 months kwa dozi kupona. Na hata kinga ni siku 20 tu mtu anapata kinga ya maisha.
Wazungu wanasema kirusi hafi, but kwa hili wanakufa sasa. Amini usiamini hainihusu ila nimeshuhudia.
Kumbuka zamani kifafa walikuwa hawawezi tibu hospitalini kwa dawa za sasa lakini tiba asili ilikuwepo na ipo.
Sio kwa kuwa wewe hujawahi kuona ndio tiba haipo.Kama kuna dawa za hivyo, why ARVs? Sijawahi ona kifafa kimepona.... sijawahi
Emb kwenda huko!Tatizo lako ndugu unaongea vitu toka hewani huna ushahidi hata mmoja herbs zinavyofanya kazi.
Kwa ufupi herbs mpaka sasa zinatibu VVU/HIV mimi nina ushuhuda toka kwa ndugu yangu. Amepona kabisa kabisa kwa herbs hizo.
nimeshindwa mimi, asante kwa elimuSio kwa kuwa wewe hujawahi kuona ndio tiba haipo.