Uwezo wa NIMR unafikirisha kutoa Tiba Lishe ya kufubaza Virus vya UKIMWI, tunaweza kuacha na ARV zenye masharti

Kwanza hakuna virusi vya ukimwi duniani.hivyo mada yako inakosa maana kabisa.

Wazungu wengi sana wameshajua ukweli huu,lakini sisi waafrika goigoi wa kufikiri na kutafakari kwa kina bado tuko nyuma sana ndio maana tunaendelea kuburuzwa na wazungu...

Pili hata hiyo covid 19 haipo,kilichokuwepo ni seasonal influenza na ilikuwepo tangu muda mrefu na sio ugonjwa wa kupewa air time hivyo...hakuna dalili hata moja ya covid 19 ambayo huwezi kuikuta kwenye seasonal influenza,HAKUNA...walichofanya washenzi wazungu ni kuitumia influenza kama loophole na kuibatiza jina la covid 19 na kuipa promotion kubwa kupitia vipimo fake,vyombo vikubwa na vidogo vya habari,watu maarufu kama wanamuziki,wanamichezo,wanasiasa nk..

Hii ndio dunia yetu ilivyo,kama hauko makini kusugua brain utabaki kuburuzwa tu kila siku.
Kweli wewe ni Deceptor, kwahiyo unataka kutuambia hakuna VVU au mimi sijakuelewa?
 
Emb kwenda huko!
Hahahhaha
Tatizo lako mmebaki na hasira baada ya tarehe 28 Oktoba. Huu mchezo hautaki hasira.

Tiba zipo na ndio maana JPM 2020 - 2025 kaliona hili na litafanyiwa kazi utake usitake na hasira zako. Wewe ndiye utakwenda huko.
 
Hahahhaha
Tatizo lako mmebaki na hasira baada ya tarehe 28 Oktoba. Huu mchezo hautaki hasira.

Tiba zipo na ndio maana JPM 2020 - 2025 kaliona hili na litafanyiwa kazi utake usitake na hasira zako. Wewe ndiye utakwenda huko.
Sijadili ujinga na wajinga. Kama watu walienda kunywa uchafu kule Loliondo sasa mimi naanzaje kuchukua mawazo yao ya kijinga?
 
[QUOTWa nchi bkar"Bill, post: 37291538, member: 6361"]
Tatizo lako ndugu unaongea vitu toka hewani huna ushahidi hata mmoja herbs zinavyofanya kazi.

Kwa ufupi herbs mpaka sasa zinatibu VVU/HIV mimi nina ushuhuda toka kwa ndugu yangu. Amepona kabisa kabisa kwa herbs hizo.
[/QUOTE]
Mkuu wa nchi kaliona hilo. Herbs zinasaidia sana. Mimi nina dawa ya Natalia ukiinywa grantii miaka 8 inaitwa omushana kutoka kwenye vimsitu vya ruhita. Lakini kuna majitu yanadharau. Bk kuna wamama wanatibu ugumba llakini kuna majitu bado mabishi yaanashindwa kupata watoto kwa dharau.
 
Utanisamehe, do you believe hizi concoctions za NIMR zinaua virus? seriously? Are these herbs new in our daily lives with our diseases? Zimetumika from time immemorial na magonjwa yakatumaliza mpaka hapo wazungu walipokuja na modern medicine. Kwahiyo unaamini kujifukiza? Kwani kujifukiza hakukuwepo tangu dunia inaumbwa?

Unaamini wazungu lishe yao ni duni ndiyo maana wameshindwa kukabiliana na corona? NIMR wametengeneza lishe bora kuliko lishe ya kila siku ya wazungu? (inawezekana).

Kumbuka plagiarism is an international crime and a civil wrong!

Washauri waende kwenye modern solutions to evolving and re-emerging diseases, traditional herbs with modern approaches, siyo kuwa encourage kuchemsha miti na kunywa/kujifukiza
Hata Coca-Cola ilitokana na mitishamba, usibishi bila reference.
 
Back
Top Bottom