Uwezekano wa Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya Makonda ni zaidi ya asilimia 80

Ni wazi kwamba baada ya Makonda pale Dar es salaam Chalamila ndiye atakaye fuata.Kwanini?

Ndiye kipenzi cha mkulu baada ya Makonda.

Ndiye mwenye uthubutu wa wazi wa kupambana na wapinzani (hii ni sifa kuu)!

Ndiye RC (Tiss) aliyeiva katika eneo la propaganda!

..........!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Yote umeandika vzr ila hapo mwishoni umeharibu kila kitu!
 
Ni wazi kwamba baada ya Makonda pale Dar es salaam Chalamila ndiye atakaye fuata.Kwanini?

Ndiye kipenzi cha mkulu baada ya Makonda.

Ndiye mwenye uthubutu wa wazi wa kupambana na wapinzani (hii ni sifa kuu)!

Ndiye RC (Tiss) aliyeiva katika eneo la propaganda!

..........!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Wachawi kweli wapo
 
Back
Top Bottom