UVCCM watangaza vita na BAVICHA (Arusha)

Chadema wamesema wanafanya maandamano ya amani yasiyokoma.
Swali kwa UVCCM wao wanapambana na chadema ki vip?, kwa amani au vurugu?. Ni nan ataleta vurugu hapo?. Wajipange kwa hoja bana!
 
hahaaa!!! in maana hawa jamaaa wamechukua majukumu ya polisi sio siwaelewikabisa.........!!!!:help:
 
Hiyo ndio picha sahihi ya ccm na vitoto vyao,badala ya kuwaza amani ,upendo na usawa wa kweli wao wanawaza vulugu kwani wao polisi,waende monduli kufanya kazi mashambani ili wasidaiwe posho walizopewa na mheshimiwa
 
na haya yote wata sema CDM ndio waanzilishi wa fujo zitakazo tokea?
 
Kama vile nchi inaelekea mrama hivi...sasa baada ya ile habari ya mabomu Dodoma,na vurugu Dar yote kuhusu katiba, imefuatia hii kutoka Arusha UV-CCM Arusha wanasema wana vijana zaidi ya 9,000 tayari kupambana na CDM,ili kuwazuia wasiandamane kupinga Meya Arusha. Source Chanel ten habari ya saa moja jioni hii.
Na Tegeta nako waua mabaunsa watano,kisa kuzuia ubomoaji makazi...kulikoni.......???
Mkuu tunza majina ya hao vijana na record za vikao vyao, naona wa kwenda the HAGHUE ni wengi. Wawa ulize kina Ruto, Mthaura, Hussein Mohamed na wenzao walianza hivihivi. Hawawezi kuzuia nguvu ya umma.
Waachane na mawazo ya kijinga CDM ni chama kinachopambana na mafisadi wa nchi hii ya Tanzania. Haki finaly itashinda!!!!!!!!!!!
 
Mimi sina chama cha siasa ila katika siku za karibuni hasa kuanzia 2009 kuna mtitiriko wa matukio unaonifanya niwe na wasiwasi na wanachama wa CCM kama ifuatavyo:-
1. Wanachama wa CCM hivi sasa hawavai sare zao za chama hadharani. hata yale mavazi ya promotion ya uchaguzi hayavaliwi kama ilivyokuwa mwaka 2005 and before. wanaovaa ni wale maskini wa vijijini wavaao si kwa ushabiki.
2. Wanachama wa CCM hawajitangazi hadharani kama zamani. Yale majadiriano ya hadharani kama vile bar vituo vya mabasi, vyombo vya usafiri havipo tena!!. YAANI WANAOGOPA KUJULIKANA

MAONI YANGU:- Siwashauri waone aibu kuwa wana CCM bali wajenge utamaduni wa kukinyima kura chama chao pale wanapoona mambo hayaendi kwa mujibu wa katibu na kanuni zao. Utamaduni wa kuona chama kinavunja katiba na kanuni halafu wakahama au kujificha kwa aibu si njia nzuri ya kujenga demokrasia. Pia utaratibu wa mwanachama kukikosoa chama chake akafukuzwa uanachama si demokrasia!
 
Chama kimejaa uozo hadi tunashindwa namna ya kukitetea!
 
naona kama waongea kishabiki zaidi.nchi gani inaenda mrama kwa kulipuliwa vibomu vya machozi?waganda wasemaje na konyi wao.
Si mnawashwa vita bac tusubiri hiyo tarehe tutawaona kwanza kwa wengine mtasaidia kutuchangamsha taarifa ya habari,maana siku hizi inaboa sana.

Ahsante ILA SIJUI HIYO TAARIFA UTAIANGALIA WAPI,AU NDANI YA HANDAKI LAKO KAMA GBAGBO....TEH...TEH..USITUMIE TUMBO KUFIKIRI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom