Uvccm Arusha leo wamechefuana na bavicha Arusha

photo mee

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
608
93
Leo Ripley A night club kwa nje zilipigwa ngumi kati ya vijana wa ccm na chadema baada ya vijana wa ccm kufika kufungua shina la wakereketwa jambo lililo waudhi baadhi ya vijana wa bavicha maana waliyo fungua shina niwenzao waliyo jitenga na shina lao OCD wa Arusha Mroto aliwahi nakuamua ugomvi na ccm kuendelea na zoezi lao

Katika mkutano wa hadhara ambao ulihutubiwa na mwenyekiti wa Uvccm wilaya na mwenyekiti wa mkoa pamoja na mtoto wa waziri wa maji maghembe kaulizao jumla ya yote mwenyekiti wa wilaya aliunga mkono polisi waliyonyanyasa vijana wa bodaboda wahamishwe Arusha mara moja kwakumwomba IGP au waziri ajaye wa mambo ya ndani

Mwenyekiti wa mkoa Sombetini tunaenda kushinda maana mgombea hana maadili kwenye jamii

Mtoto wa maghembe alisema kilimanjaro majimbo mawili ambayo chadema wanamiliki 2015 tunayarudisha yote

Jumla ya yote ni kuhamasisha vijana wajiunge na ccm na kujisajilikwenye vikundi wapewe mikopo na Halmashauri ya jiji maana pesa zipo
 
Mtauana hapo na waliyo watuma hawapo acheni hizo hoooooooooooo
 
Ulaghai at work..huyo mtoto wa maghembe nae jana domo kubwa? Kama hana huyo atakuwa anatafuta NITOKE VIPI..
 
Haya ni matusi ndugu yangu, yawezekana hukunipata baada ya kusema mtakufa mmeegemea choo; usemi huu unamaana ifuatayo, mtu anabeba mzigo mzito kuzidi uwezo wake, ghafla anaamua kuutua na kuegemea kwenye jengo moja na ghafla fahamu zinamwishia na Israeli anapita Roho yake, mtoto mmoja anapita jirani na njemba huyu alipofia na kumuona mtu huyo aliyekufa, mtot bila kujua kuwa huyo tayari ni marehemu anamwambia mzazi wake, baba mbona mtu yule ameegemea choo? Baba anasogea kumuona mtu yule nakugundua kuwa amekufa, Baba wa mtoto yule anamjibu mwanaye kwa sauti ya masikitiko, ohhh "mwanangu mtu huyu amekufa ameegemea choo", Hivyo siyo matusi wala suala la mtindio wa Ubongo halipo hapa. Tumia maneno yenye hekima tu tena jenga hoja badala ya matusi.T
 
Wtz wamekaa kuwaza kuchagua na kuchaguliwa kwenye vyama vya siasa badala ya kufanya kazi tuinuke kiuchumi.hakika nawaambine tukibweteka na ahadi na fedha za wanasiasa bila kuzigeuza fikra zetu ktk sala na kazi tutaendelea kuwa watumwa ktk nchi yetu weny.we.
 
Katika wajinga hata wewe mwehu ndiyo nambari moja!

Haya ni matusi ndugu yangu, yawezekana hukunipata baada ya kusema mtakufa mmeegemea choo; usemi huu unamaana ifuatayo, mtu anabeba mzigo mzito kuzidi uwezo wake, ghafla anaamua kuutua na kuegemea kwenye jengo moja na ghafla fahamu zinamwishia na Israeli anapita Roho yake, mtoto mmoja anapita jirani na njemba huyu alipofia na kumuona mtu huyo aliyekufa, mtot bila kujua kuwa huyo tayari ni marehemu anamwambia mzazi wake, baba mbona mtu yule ameegemea choo? Baba anasogea kumuona mtu yule nakugundua kuwa amekufa, Baba wa mtoto yule anamjibu mwanaye kwa sauti ya masikitiko, ohhh "mwanangu mtu huyu amekufa ameegemea choo", Hivyo siyo matusi wala suala la mtindio wa Ubongo halipo hapa. Tumia maneno yenye hekima tu tena jenga hoja badala ya matusi.T
 
waangalie sana maana bavicha ile ni mafia kabisa. Yenyewe haina tofaut na boko haram ugomvi kwao ni sehem ya maisha
 
Back
Top Bottom