SOKON 1
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,134
- 331
Ktk chuo kikuu cha dodoma kunaendelea kampeni za kumchagua raisi wa chuo ila imeonekana wazi serikali kupitia uongozi wa juu wa chuo kuwaweka watu wao wanawowataka wao kwani Abubakary Bashe nduguye wa Bashe aliyeambiwa siyo raia wa TZ akiwa ktk kampeni zake za Udom akikana yeye siye ccm na hayupo ktk UVCCM ila alijikuta akitumia mda mwingi akizidumisha fikra za mwenyekiti JK alizokuwa akizungumza ktk kampeni na mpaka sasa ktk madaraka yake mambo hayo ni;
1. Ukabila
2. Dini
3. Ukanda
4. Uwanaharakati ( chadema)
Wana JF chukua maneno ambayo mwenyekiti wa ccm huwa akizungumza ktk hayo mambo manne kisha paste kwa uyo Abubakary Bashe ndivyo alivyokuwa akisema.
My take:
Udom ni sehemu ya wasomi badala ya kuzungumzia academic issue yeye anatoka nje ya mada na inaonesha wazi kuacha mambo ya masomo na kawekwa kwa sababu maalumu.
Kwani Udom inamatatizo mengi sana ya kitaaluma.
Pia iweje mambo ya siasa za nchi ziwepo chuoni kwani kutokana na kauli za huyu jamaa zinanifanya nisema ni UVCCM na zidumu fikra za mwenyekiti.
Nawasilisha