PRECIOUSNESS
Member
- Apr 10, 2013
- 54
- 13
Post tu yenyewe ni kielelezo tosha cha mtu asiyejua alisemalo, hv ulifikiria kazi ya kuchambua cv za waombaji wote hadi kupatikana hao 1000 wenye sifa stahiki? Unapaswa kutambua kuwa kama hata wangeitwa watu laki moja ni kwa kuwa wote wametimiza vigezo na mahitaji ya kazi husika, kwa kuwa nafasi ni tano na watu wenye sifa ni 10000 basi ni lazima waitwe wote na kupimwa kwa njia ya usaili, na hii ndio njia bora isiyo na upendeleo..
Wengi wanaolalamika hapa ni wale waliozoea mteremko na kazi za kupeana kidugu ambzo hazitoi fursa sawa kwa waombaji wote.
Naipongeza sana time kwa kazi nzuri inayoganya
Ww hata kama unaipongeza tume ni kimpango wako, pia kaa ukijua sio kila mtu anapenda mteremko kama ww, hapa swala lililopo ni kwamba watu tunafanyishwa mitihan isiyokuwa na sababu hali wakijua kuwa tayari wanawatu wao hio sio haki hata kidogo hata mungu hapendi!!!!hebu fikiria unamtoa mtu mkoan kuja kumfanyisha mtihan usiokuwa na sababu afu mwisho wa siku hata hayo makaratas hamsahishi.kwa hili jaman mmechemsha tena sana huwez kumuwekea mtu maksi ya ajabu wakati yeye anajua alichojibu hakikuwa cha kupata maksi hiyo.ofcoz mm nilikuwa nafikiri tume hii huwa inafanya haki katika swala hili la ajira lakin nilikuwa cjawah kufanya nao mtihan na sasa yamenikuta ndio maana nasema kwa uchungu hapa hakuna haki yoyote.hivi mnafikiri tutaendelea kusema ndi mfumo wa nchi hii hata lini???ndio maana kila siku mabomu yanalipuliwa na watu wasiojulikana mnafikiri wametoka nje lakin ni wa humuhumu kwenye jamii wasiokuwa na kazi.
matumain yangu ni kwamba ipo siku kila idara na ofisi mbalimbali itashikwa na watu wanao penda haki na mabadiliko yatapatikana, mm na ww tujitahidi kuwa chachu ya mabadiliko na tuachane na kauli hii kwamba ndiomfumo wa nchi yetu ilivyo.cku zote kumbuka kuwa cheo ni dhamana tu.