Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

Mbomozo

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
361
940
Habari za Masiku ndg zangu,

Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job. Ila hii inatokana na kuhenyeka interview 15 zao, 13 kati ya hizo niliishia written na kuambulia alama za ndala. Nakumbuka Marks kubwa kwenye interview izo 13 ni 48 na nikafurushwa virago As NOT SELECTED.
Bila kupoteza muda naomba nikuambie Kitu ewe msailiwa ni kuwa lengo namba 1 za interview hasa hasa za mwanzo meaning written interview lengo lake ni kupunguza watu, Mmeitwa 800 nafasi ni 50 mfano.

NJIA MBADALA ZA KUFAULU WRITTEN INTERVIEW.
Naomba nielezee hizi njia kwa kutumia tangazo la ajira la TRA ICT Officer (Developer/Programmer) Nafasi 50 zilizotangazwa April 2022.

1. Position ya kazi uliyoomba ina majibu ya written interview mfano kama kazi tajwa hapo juu ina maana PLs Questions ndio utakutana nazo.Na sio PL moja bali ni 5 au 6 usijiandae na Java au C au C++ tu bali soma zote.
2. Job Description ya kazi tajwa inaelezea vizr kabisa kuwa utakutana na maswali gani mfano wa JD unaoweza kukusaidia
  • To implement software systems (Write and document code);
Meaning huwez kuandika code bila kujua Programing languages na hawajaelezea kuwa wanataka back end au front-end developers basi ujue wewe msailiwa automatic ni full stack developer kwaio lazima ujue All PLs za back-end na Front-end.

NB: Ukienda Interview yyt ile ICT officer tegemea kukutana na mtihani mgumu na utapewa lisaa limoja kuufanya na si chini ya maswali yatakuwa 45 kutokana na experience then tegemea kukutana na language kama C++,C,PHP, JAVA na PYHON.
AINA YA MASWALI YANAYOULIZWA.
Kama kitabu naweza kusema ule ukurasa wa yaliyomo na utangulizi so tegemea kukutana na simple questions but basic ones kijana na key concepts Mfano kwenye Java kuna Inheritance , encapsulation etc na mambo ya how to create class kwenye PL yyt ile KIKUBWA KABISAA ni maswali ya Soma Code and sema Outcome ndio zimejaa sana kuanzia swali la 30 kuendelea.

ANGALIZO: No actual writing of a code bali Multiple Choice Question maswali yote 45 so lazima ujue unachokifanya
NAWAOMBEA WATAKAOSOMA UZI UZI HUU NA KUNUFAIKA NA ATAKAEKUWA NA UJUZI ZAIDI YANGU BASI AJAZIE CHINI NYAMA ili tusukume gurudum.
Amiin
 
Sijaangalia Job Description zao ila kama unazo tupia hapa nione ili nikupe way ndg yangu
A6727B4F-30B9-460A-83EA-EB1E6E424DE0.png

Hii apa ni ile ya TRA
 
So IT developers/programmer hawa interview zao zita base zaidi kwenye programming languages/ kwa back end na language nyinginezo za front end..

Kiufupi kibongo bongo itakubidi uwe full stack developer.

Kwa IT technician hawa itabidi wawe more technical
Maintenance & repairs....
Troubleshooting
Configuration
Installation
 
Habari za Masiku ndg zangu,

Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job. Ila hii inatokana na kuhenyeka interview 15 zao, 13 kati ya hizo niliishia written na kuambulia alama za ndala. Nakumbuka Marks kubwa kwenye interview izo 13 ni 48 na nikafurushwa virago As NOT SELECTED.
Bila kupoteza muda naomba nikuambie Kitu ewe msailiwa ni kuwa lengo namba 1 za interview hasa hasa za mwanzo meaning written interview lengo lake ni kupunguza watu, Mmeitwa 800 nafasi ni 50 mfano.

NJIA MBADALA ZA KUFAULU WRITTEN INTERVIEW.
Naomba nielezee hizi njia kwa kutumia tangazo la ajira la TRA ICT Officer (Developer/Programmer) Nafasi 50 zilizotangazwa April 2022.

1. Position ya kazi uliyoomba ina majibu ya written interview mfano kama kazi tajwa hapo juu ina maana PLs Questions ndio utakutana nazo.Na sio PL moja bali ni 5 au 6 usijiandae na Java au C au C++ tu bali soma zote.
2. Job Description ya kazi tajwa inaelezea vizr kabisa kuwa utakutana na maswali gani mfano wa JD unaoweza kukusaidia
  • To implement software systems (Write and document code);
Meaning huwez kuandika code bila kujua Programing languages na hawajaelezea kuwa wanataka back end au front-end developers basi ujue wewe msailiwa automatic ni full stack developer kwaio lazima ujue All PLs za back-end na Front-end.

NB: Ukienda Interview yyt ile ICT officer tegemea kukutana na mtihani mgumu na utapewa lisaa limoja kuufanya na si chini ya maswali yatakuwa 45 kutokana na experience then tegemea kukutana na language kama C++,C,PHP, JAVA na PYHON.
AINA YA MASWALI YANAYOULIZWA.
Kama kitabu naweza kusema ule ukurasa wa yaliyomo na utangulizi so tegemea kukutana na simple questions but basic ones kijana na key concepts Mfano kwenye Java kuna Inheritance , encapsulation etc na mambo ya how to create class kwenye PL yyt ile KIKUBWA KABISAA ni maswali ya Soma Code and sema Outcome ndio zimejaa sana kuanzia swali la 30 kuendelea.

ANGALIZO: No actual writing of a code bali Multiple Choice Question maswali yote 45 so lazima ujue unachokifanya
NAWAOMBEA WATAKAOSOMA UZI UZI HUU NA KUNUFAIKA NA ATAKAEKUWA NA UJUZI ZAIDI YANGU BASI AJAZIE CHINI NYAMA ili tusukume gurudum.
Amiin
Job description zinahusiana na system analysis/development pia. Angalia vizuri tangazo. Si programming tu.
 
Mawazo yako yataheshimiwa ila ukitaka kufauli take it... As i said ila kama unataka kufanya research ya interview its OK
 
Njooni tujadili interview mbali mbali za utumishi
Usituletee makalio hatufiri wanaume
 
Njooni tujadili interview mbali mbali za utumishi
Asee we jamaa ni msumbufu sana.. yaan ningekuwa
@moderater humu nishakuondoa.. yaan hili bango lako Hadi unakerwa
 
Back
Top Bottom