Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

Monosex

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
892
1,618
Wakuu vipi hali?

Nikiwa siti ya pili toka nyuma kwenye basi nikitafakari na kupitiwa na usingizi namna nilivyokosa maksi 3 niingie oral kwenye written ya utumishi pale CIVE(AUDITORIUM).

Mara siti ya nyuma huko nasikiaa mwanamama akiwasiliana na simu, ‘tumepata ajali wafanyakazi wetu watano wamefariki akiwemo dereva!!!, walikuwa kwenye msafara wa RC wa Mwanza wakielekea kupokea madarasa huko ukerewe.

Nilistuka kutoka kwenye usinigiz,huzuni na tafakari, jinsi nilivyoshindwa kuingia kwenye oral, umakini ukaongezeka kusikiliza maongezi ya yule mnenaji siti ya nyuma, ukizingatia Kaka yangu pia ni dereva na ofisi alipo mara nyingi huwa yupo kwenye misafara ya viongozi.

Moyo ulitulia baada ya yule mnenaji kutaja ofisi husika(kimoyomoyo nikasema bro angu hiyo ofisi hayumo), Basi kituo kinachofuata yule mnenaji kaja kukaa siti yangu baada ya jirani kushuka.

Nikaanza kumuuliza kwa kina, hebu nieleze ilikuweje?

“Akafunguka, rejea hapo juu, lakini akaongezea ya kuwa dereva ni ajira mpya(hana miezi 2) na ilibidi anilete huku Dodoma mji wa serikali ila mwandishi kiongozi(miongoni mwa waliolala mauti) na alikuwa kasitisha likizo kuja kwenye tukio hilo la kupokea madarasa huko ukerewe)”

“Aliongezea kuwa alisema wewe utaenda Dodoma na nitakupatia hela ya tax ukifika Dodoma ili ikupeleke mji wa serikali ili huyu dereva mgeni atupeleke ukerewe, sababu ni karibu, huko Dodoma sina Imani naye”

“Safari ikaanza toka mwanza to ukerewe, ukizingatia walichelewa kuondoka na msafara wa RC ili kuwahi ili wavuke wote na RC ilibidi dereva mgeni achochee moto, ndiyo kufika busega ajali mbaya sana ikatokea, huku nikionyeshwa picha na video kupitia simu yake mimi.

Chukua hizi dondoo za bure zitakusaidia kwenye usaili wa utumishi,

Kilichofanya nianze na hiyo stori ya majonzi hapo juu ni kuwa baada ya kukosa kuingia oral interview nilikuwa napitia huzuni na tafakari, kwanini mimi? Baada ya kusikia kisa cha dereva huyo, nikapata nguvu kwakuwa nipo hai na kwa sababu maalum.

1.Asikwambie mtu interview za utumishi zimeshiba hasa written, ukizingatia idadi ya nafasi,wasailiwa wengi, muda wa kufanya interview kuwa dakika 40 kwa maswali matano(nitayaorodhesha kwa kada niliyofanya, sababu nayakumbuka) n.k.

2.Tambua unapoenda kwenye interview utambuwe washindani wako kama, wenye connection (hata Rais anafahamu hili), waliopo kazini hasa serikalini au binafsi either permanent au kujitolea,wenye gpa kama first class,upper second,lower second,pass n.k, wanaomeza material na kuyatema hivyohivyo, wanaoenda basi tu wana nauli n.k

3.Nyaraka za uthibitisho ni muhimu tena sana na ziwe original hasa kwa kitambulisho cha nida,kura,leseni,kazi n.k, fanya juu sana upate nyaraka ya kukutambulisha ili majina yafanane nav yeti vyako, sababu Rafiki yang una wengine Zaidi ya 60(walizuiwa) yeye alizuiwa sababu alikuwa na kitambulisho cha nida(online copy) alikataliwa kufanya usaili na baada ya kutoa kitambulisho cha kazi, kaambiwa ofisi yake ndogo(utumishi inabidi kuainisha hili la ofisi)

4.Soma, soma,soma sana hasa research ,survey,statistics,sampling,JD na ifahamu kwa kina ofisi iliyotoa kazi n.k.

Maswali ya interview ilikuwa 9/1/2022

  • 1 a.What is sample.
  • b. Advantages of sampling.
2.Briefly explain components of survey as used in survey plan (in research perspective)

3.Briefly explain three types of research.

4.Mention responsibilities of the position you applied.

5.Explain marine conservation principles as used in conservation.

Huo mtihani nilifanya maswali matatu kwa uhakika 1,3,4, la pili na la 5 muda ulikuwa umeisha hivyo zilibaki dakika tano ambazo hazikutosha kujibu swali inavyotakiwa, nilifanikiwa kupata 65/100 na waliochaguliwa kwenda oral, cut-point iliishia 68, niliumia sana.

NB:Zingatia mgawanyo wa muda kwenye kujibu maswali, sababu maswali ikiwa unayafahamu utayajibu kwa ufasaha na yatakuchukulia muda.

Nawapongeza waliofaulu kwenda oral na kupata kazi, ijayo ni nafasi yangu.

32 PSRS/21/3732/020 65.0 NOT SELECTED

Chukua haya, japo yatakusaidia, sharing is caring.
 
Attachments

  • Result_MARINE CONSERVATION WARDEN II.pdf
    157.1 KB · Views: 367

Ni muhimu sasa kuwaongelesha watoto walio high school kuanza kuwajenga Kibiashara wanapoelekea chuon!
 
Zilikuwa ni zile ajira za LATRA au vp mkuu?
 
Hongera sana mkuu, Interview kweli inataka kujipanga ase. Nakumbuka kuna moja nilifanya Dom cut off ilikuwa 50 na ndo nikapata hiyo nikaingia Oral. Ila kuna nyingine niliona iko fresh tu lakini nilipata 25 yaani nilikuwa mtu wa mwishoni kabisa. Mwisho wa siku mambo yalikaa vizuri kupitia Interviews kadhaa. Kwa moyo wako huu wa kukubali jambo ni hatua moja kubwa sana, nakuhakikishia Mungu atakufanya utoke mapema katika hili sakata la Interviews kama ulivyoamini.
 
Wakuu vipi hali?

Nikiwa siti ya pili toka nyuma kwenye basi nikitafakari na kupitiwa na usingizi namna nilivyokosa maksi 3 niingie oral kwenye written ya utumishi pale CIVE(AUDITORIUM).

Mara siti ya nyuma huko nasikiaa mwanamama akiwasiliana na simu, ‘tumepata ajali wafanyakazi wetu watano wamefariki akiwemo dereva!!!, walikuwa kwenye msafara wa RC wa Mwanza wakielekea kupokea madarasa huko ukerewe.

Nilistuka kutoka kwenye usinigiz,huzuni na tafakari, jinsi nilivyoshindwa kuingia kwenye oral, umakini ukaongezeka kusikiliza maongezi ya yule mnenaji siti ya nyuma, ukizingatia Kaka yangu pia ni dereva na ofisi alipo mara nyingi huwa yupo kwenye misafara ya viongozi.

Moyo ulitulia baada ya yule mnenaji kutaja ofisi husika(kimoyomoyo nikasema bro angu hiyo ofisi hayumo), Basi kituo kinachofuata yule mnenaji kaja kukaa siti yangu baada ya jirani kushuka.

Nikaanza kumuuliza kwa kina, hebu nieleze ilikuweje?

“Akafunguka, rejea hapo juu, lakini akaongezea ya kuwa dereva ni ajira mpya(hana miezi 2) na ilibidi anilete huku Dodoma mji wa serikali ila mwandishi kiongozi(miongoni mwa waliolala mauti) na alikuwa kasitisha likizo kuja kwenye tukio hilo la kupokea madarasa huko ukerewe)”

“Aliongezea kuwa alisema wewe utaenda Dodoma na nitakupatia hela ya tax ukifika Dodoma ili ikupeleke mji wa serikali ili huyu dereva mgeni atupeleke ukerewe, sababu ni karibu, huko Dodoma sina Imani naye”

“Safari ikaanza toka mwanza to ukerewe, ukizingatia walichelewa kuondoka na msafara wa RC ili kuwahi ili wavuke wote na RC ilibidi dereva mgeni achochee moto, ndiyo kufika busega ajali mbaya sana ikatokea, huku nikionyeshwa picha na video kupitia simu yake mimi.

Chukua hizi dondoo za bure zitakusaidia kwenye usaili wa utumishi,

Kilichofanya nianze na hiyo stori ya majonzi hapo juu ni kuwa baada ya kukosa kuingia oral interview nilikuwa napitia huzuni na tafakari, kwanini mimi? Baada ya kusikia kisa cha dereva huyo, nikapata nguvu kwakuwa nipo hai na kwa sababu maalum.

1.Asikwambie mtu interview za utumishi zimeshiba hasa written, ukizingatia idadi ya nafasi,wasailiwa wengi, muda wa kufanya interview kuwa dakika 40 kwa maswali matano(nitayaorodhesha kwa kada niliyofanya, sababu nayakumbuka) n.k.

2.Tambua unapoenda kwenye interview utambuwe washindani wako kama, wenye connection (hata Rais anafahamu hili), waliopo kazini hasa serikalini au binafsi either permanent au kujitolea,wenye gpa kama first class,upper second,lower second,pass n.k, wanaomeza material na kuyatema hivyohivyo, wanaoenda basi tu wana nauli n.k

3.Nyaraka za uthibitisho ni muhimu tena sana na ziwe original hasa kwa kitambulisho cha nida,kura,leseni,kazi n.k, fanya juu sana upate nyaraka ya kukutambulisha ili majina yafanane nav yeti vyako, sababu Rafiki yang una wengine Zaidi ya 60(walizuiwa) yeye alizuiwa sababu alikuwa na kitambulisho cha nida(online copy) alikataliwa kufanya usaili na baada ya kutoa kitambulisho cha kazi, kaambiwa ofisi yake ndogo(utumishi inabidi kuainisha hili la ofisi)

4.Soma, soma,soma sana hasa research ,survey,statistics,sampling,JD na ifahamu kwa kina ofisi iliyotoa kazi n.k.

Maswali ya interview ilikuwa 9/1/2022

  • 1 a.What is sample.
  • b. Advantages of sampling.
2.Briefly explain components of survey as used in survey plan (in research perspective)

3.Briefly explain three types of research.

4.Mention responsibilities of the position you applied.

5.Explain marine conservation principles as used in conservation.

Huo mtihani nilifanya maswali matatu kwa uhakika 1,3,4, la pili na la 5 muda ulikuwa umeisha hivyo zilibaki dakika tano ambazo hazikutosha kujibu swali inavyotakiwa, nilifanikiwa kupata 65/100 na waliochaguliwa kwenda oral, cut-point iliishia 68, niliumia sana.

NB:Zingatia mgawanyo wa muda kwenye kujibu maswali, sababu maswali ikiwa unayafahamu utayajibu kwa ufasaha na yatakuchukulia muda.

Nawapongeza waliofaulu kwenda oral na kupata kazi, ijayo ni nafasi yangu.

32 PSRS/21/3732/020 65.0 NOT SELECTED

Chukua haya, japo yatakusaidia, sharing is caring.
Habari yako mkuu.
Naomba Kama una notes nzuri za research unisaidie?
 
Back
Top Bottom