Utoto bwana!!

Ukimwangalia mwenzio anakata kimba mamako atakatika matiti, 4 sure yalikuwa mafunzo mazuri ya adabu kwa watoto
 
Ukikojoa sehemu ambayo mwenzio ameshakojolea mama yako atavimba titi
 
Dah! Nakumbuka nikiwa mdogo niliendaga mbeya vjijini basi ukikojoa lazma utemee mate usipofanya hivyo mtu akiluka mkojo wako utaumwa tumbo mpaka basi! Sasa kisaikolojia mpaka leo
na ukubwa wangu lazma niteme mate nikikojoa sio kwamba ntaumwa tumbo bas mazoea!!!
Af nakumbuka nikiwa std 2 watu walisema ukichukua kucha ya kunguru ukaweka sehemu ambayo kakojoa mdada basi utaona anakufuata mwenye na kukwambia anakupenda! Sasa baba kazin kwao kipindi kulikuwa na miti mirefu akaua kunguru 2 ili tuwapeleke kwenye shamba la karanga tuwatundke ili kuwatisha kunguru wengne wasile kalanga
sasa wacha tuwang'oe makucha kunguru
tukaweka mifukoni!
Tunawekea hata watu waliotuzid umri ilimradi ulimuona wakati anakojoa na ni mzuri tu! Mwisho wa siku horaaaaa!!!!!!
Proud uswazz!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom