Utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2022/2023

Tuzo zinazotolewa muda huu kupitia UTV wapo live mgeni rasmi ni Mh, waziri balozi Pindi Chana.
Waziri kasema Muziki unatumika kutangazwa maadili mema ya vijana... Ila lakushangza hata tuzo hazina maadili, maana wadada wanaleta tuzo amevaa nusu uchi.. Je haya ndio maadili mnayotangaza? 😁 😁
 
Back
Top Bottom