jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 783
- 169
Wanajf salaam
kuna wimbi kubwa sana la utoaji mimba linaongezeka kwa fujo tatizo ni nini au tumekosea wap?
kuna rafiki yangu ni doctor maeneo ya kijitonyama/mwananyamala ananiambia kwa siku lazima atoe mimba 2 au tatu za wanafunzi wa secondary na chache wanafunzi wa vyuo anadai wale wa secondari zinakuwa kubwa hadi za miezi minne(kutokujijua), wale wa chuo wengi ni chini ya mwezi mmoja au miwili, huyu dr anafahamika sana kwa kazi hiyo.
jamani tufanyeje kupunguza haya mauaji ya watoto watarajiwa? tungesema elimu ya uzazi ifundiswe knye shule za msingi na sekondari itapunguza tatizo hili, je hao wa chuo wanaotoa mimba nao hawajui hii elimu!
maoni yangu: kama huwezi kujizuia kupata mimba bora usifanye NGONO au kubali kuzaa..... tumechoka na haya mauaji ya viumbe visivyo na hatia
TUKIAMUA Tanzania bila utoaji mimba inawezekana.