figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Leo nmeshangaa tangu asubuhi wanajeshi wanapishana barabara kila kona ya dar. Imenitia hofu sana sababu sio kawaida. hawakimbii mchakamchaka wala kuongea!, wanatembea mwendo wa haraka tu. kila kundi lina bendera nyekundu na wanatembea kwa mstari ulionyoka kila mmoja nyuma ya mwenzie. Kundi la kwanza nimekutana nalo tazara, lingine kamata, mgulani, kurasini na maeneo ya bandari. sijajua wanaenda wapi. kila kundi lina watu kama 22 hivi. Mwenye kujua kinacho endelea atujuze tukae tayari tayari. mia