Utitili wa wanajeshi wanao tembea kimakundi Dar kuanzia asubuhi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
Leo nmeshangaa tangu asubuhi wanajeshi wanapishana barabara kila kona ya dar. Imenitia hofu sana sababu sio kawaida. hawakimbii mchakamchaka wala kuongea!, wanatembea mwendo wa haraka tu. kila kundi lina bendera nyekundu na wanatembea kwa mstari ulionyoka kila mmoja nyuma ya mwenzie. Kundi la kwanza nimekutana nalo tazara, lingine kamata, mgulani, kurasini na maeneo ya bandari. sijajua wanaenda wapi. kila kundi lina watu kama 22 hivi. Mwenye kujua kinacho endelea atujuze tukae tayari tayari. mia
 
Acha uwoga mkuu wapo kwenye harakati zao za ulinzi we endelea na maisha yako
 
Ni mazoezi yao ya kawaida tu!!tunahitaji jeshi dogo sana la kisasa zaidi!!
 
Leo nmeshangaa tangu asubuhi wanajeshi wanapishana barabara kila kona ya dar. Imenitia hofu sana sababu sio kawaida. hawakimbii mchakamchaka wala kuongea!, wanatembea mwendo wa haraka tu. kila kundi lina bendera nyekundu na wanatembea kwa mstari ulionyoka kila mmoja nyuma ya mwenzie. Kundi la kwanza nimekutana nalo tazara, lingine kamata, mgulani, kurasini na maeneo ya bandari. sijajua wanaenda wapi. kila kundi lina watu kama 22 hivi. Mwenye kujua kinacho endelea atujuze tukae tayari tayari. mia

Mkuu figganigga kweli we ni raia mwema? ............. maana unashangaa kitu ambacho kimezoeleka kwetu huku
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom