Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Ushauri Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,238
103,910
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tangu tuanze safari ya Mabadililko Klabu yetu imepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbali mbali.

Pamoja na maendeleo ambayo Klabu yetu imepiga katika kipindi hiki cha miaka mitano lakini malengo yetu bado hatujayafikia.

Mojawapo ya majukumu ya Mwekezaji na Raisi wa heshima wa Simba ni kuhakikisha Uongozi na Utawala bora unazidi kuboreshwa kila wakati ili kuzidi kusukuma gurudumu la maendeleo ya Klabu yetu.

Hivyo basi baada ya kushauriana na Mwenyekiti wa Bodi na Mwenyekiti wa Klabu ya SimSimbamewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Baraza la Ushauri ( Advisory Board) la Klabu ya Simba.

1. Jaji Thomas Mihayo M/kiti
2. Hassan Dalali-Mjumbe
3. Ismail Aden Rage-Mjumbe
4. Evans Aveva-Mjumbe
5. Faroukh Baghoza - Mjumbe
6. Swedi Nkwabi-Mjumbe
7. Azim Dewji-Mjumbe
8. Kassim Dewji-Mjumbe
9. Musleh Al-Ruweh-Mjumbe
10. Mohamed Nassor-Mjumbe
11. Mulamu Ng’ambi-Mjumbe
12. Octavian Mshiu-Mjumbe
13. Prof Janabi-Mjumbe
14. Hassan Kipusi-Mjumbe
15. Geofrey Nyange-Mjumbe
16. Gerald Yambi-Mjumbe
17. Moses Kaluwa-Mjumbe
18.Crescentius Magori-Mjumbe
19. Juma Pinto- Mjumbe
20. Mwina Kaduguda-Mjumbe
21. Idd Kajuna-Mjumbe

Sekretariat ya Simba itaratibu mikutano ya Baraza hili la Ushauri.

Kazi kubwa ya Baraza hili itakuwa ni kuishauri Bodi juu ya maendeleo ya Klabu yetu ya Simba, Uongozi na Utawala bora.
 
M

Umekula leo?
 
Awa ndio mbumbumbu fc ninao wajua mimi sasa, ao washauri 98% wameshakua kama viongozi simba kwa miaka zaidi 20 na kwa namna mpira unavyo kwenda kwasasa hakuna jipya.

Jifunzeni kwa Yanga wana vijana wengi wapya katika maeneo mengi na ndiomaana wameshalishika soka la Tanzania na wameanza kufanya vizuri kwenye soka la Afrika.

Ao wazee wenu wangebaki katika matawi uko.

Yanga tutaendelea kutwaa mataji mpaka tuchoke wenyewe.
 
Back
Top Bottom