bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,358
- 6,810
Uteuzi wenye tija ulikuwa enzi za mwalimu siku izi mbona ni ushikaji na ulaji aka kunyoosheana channel
Una hakika? Mbona waliokuwa wakiharibu shirika moja walikuwa wanahamishwa kupelekwa jengine wakazidi kuharibu?