Uteuzi wa Naibu Gavana wa BOT (Dk. Natu El- Maamry Mwamba) Una msaada gani kwa Jamii yetu kwa sasa?

TITAN

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
308
47
Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi chote alimshauri nini Gavana katika kuboresha uchumi wetu na je akiwa kama Naibu gavana wa BOT anaweza kutusaidia kupunguza mlipuko wa bei za chakula na vitu vingine? na kuhusu kuboresha dhamani ya shilingi iliyo shuka dhamani unadhani anaweza kuwa msaada kwetu sisi walala hoi au amewekwa apo kwa manufaa ya baadhi ya watu na wanasiasa.
Naomba mawazo.
 
Kwani huyo Prof. Benno Ndulu amefanikisha nini katika kuzuia shilingi yetu isishuke thamani?... Au kuna jambo lingine limekukera zaidi kwenye uteuzi wake?... Kuwa muwazi tu.
 
Uteuzi wenye tija ulikuwa enzi za mwalimu siku izi mbona ni ushikaji na ulaji aka kunyoosheana channel
 
huyo hawezi kuwa na mawazo mapya alishayatoa kwenye bodi,
ni wale wale tu wanaojua uozo wa serikali wanapeana vyeo
wasije ingia watu ambao hawatoweka siri ya serikali
 
Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi chote alimshauri nini Gavana katika kuboresha uchumi wetu na je akiwa kama Naibu gavana wa BOT anaweza kutusaidia kupunguza mlipuko wa bei za chakula na vitu vingine? na kuhusu kuboresha dhamani ya shilingi iliyo shuka dhamani unadhani anaweza kuwa msaada kwetu sisi walala hoi au amewekwa apo kwa manufaa ya baadhi ya watu na wanasiasa.Naomba mawazo.
Kwanza naona una ajenda ya siri lakini pili hujafanya utafiti kidogo tu kujibu baadhi ya maswalo yako maana umewasilisha kwa kuuliza huku ukiwa na jibu baya kichwani mwako ukilenga kupata majibu mabaya.Kwa taarifa yako Dr.Natu si dini unayodhani wewe ndio maana watu kama wewe mulimtaja Sophia Simba kua ni muiaslamu na Dr. Gideon Shoo ni Mkiristu. Jambo la pili Dr. Natu ni mwana JF na amekua na mchango mkubwa kwa Taifa hili akiwa ndani ya bodi ya BoT na akiwa mhadhiri chuo kikuu si vyema kutoa faida kwa watu.
 
Mtashusha thamani ya dola wakati mnajuwa kununuwa tu kutoka nje? Anzeni na kuuza bidhaa zenu nje badala ya kuuza maneno JF.

Dada yangu si wote wanofanya mzaa katika JF kama ww ni mshabiki wa chama fulani ni bora kwenye mambo mengine uche watu wachangie point za maana, labda nikukumbushe serekali ya CCM ndiyo yenye jukumu la kupandisha dhamani ya shilingi kwa kunya yafuatayo (1). kuongeza soko la bidhaa zetu nje ya nchi, (2) ku mdhamini mtanzania katika maswala ya uzalishaji (3) kuongeza ajira na kutoa elimu kwa wajasiria mali wetu. (4) kutafuta mbinuza ushindani wa kibiashara.
Siyo mzaa na kutupa haadi feki na safari zisizo na mafanikio kila siku.
 
QUOTE=TITAN;2115077]Dada yangu si wote wanofanya mzaa katika JF kama ww ni mshabiki wa chama fulani ni bora kwenye mambo mengine uche watu wachangie point za maana, labda nikukumbushe serekali ya CCM ndiyo yenye jukumu la kupandisha dhamani ya shilingi kwa kunya yafuatayo (1). kuongeza soko la bidhaa zetu nje ya nchi, (2) ku mdhamini mtanzania katika maswala ya uzalishaji (3) kuongeza ajira na kutoa elimu kwa wajasiria mali wetu. (4) kutafuta mbinuza ushindani wa kibiashara.Siyo mzaa na kutupa haadi feki na safari zisizo na mafanikio kila siku.[/QUOTE] Muhimu umeweka wazi kuwa lazima kuwapo mjadala wa hoja si mzaha. Jf tuendelee kujenga hoja
 
Nashukuru kwa mawazo yako lakini mimi kama mtanzania nina aki ya kuhuliza na kutoa mchango wa mawazo yangu kwa karne hii, siyo kama zamani mlikua mnatubania ww na serekali yako. mm sijaongelea swala la dini na pia si mdini I just asking logic question
kuwepo kwake apa JF ni vizuri sana na tunashukuru sana kwa mchango wake. but inaoneka ww ni mamluki wa chama fulani umekuja apa kuaribu mada ambayo inachangiwa kwa kuweka maswala ya udi. mm si mdini na kamwe sitakua mdini wala ujui dini yangu
 
Mtashusha thamani ya dola wakati mnajuwa kununuwa tu kutoka nje? Anzeni na kuuza bidhaa zenu nje badala ya kuuza maneno JF.

Ni nani ananunua vitu toka nje FaizaFoxy? au nikuulize tena, ni nani alipewa jukumu la kuhakikisha hatununuwi vitu nje? na huyo aliyepewa hilo jukumu amelitekelezaje hadi sasa? Na ni kwanini tunanunua vitu toka nje? Ni kwa sababu 'supply ya mwatex' ni ndogo kuliko demand? au Tanganyika packers imezidiwa na order nyingi? oh... nimekumbuka, tumeshindwa kuzalisha bidhaa sisi wenyewe kwa sababu mbu wanatung'ata sana na sasa tunasumbuliwa na malaria, ndio maana tumewaomba 'watu wa marekani' watusadie vyandarua! right?
 
Mtashusha thamani ya dola wakati mnajuwa kununuwa tu kutoka nje? Anzeni na kuuza bidhaa zenu nje badala ya kuuza maneno JF.
Baba huwa anaenda kuhemea nje mara kwa mara, siku zingine akichelewa kwenda Obama huwa anampigia simu kumkumbusha aende kuhemea.
 
eheee, kumbe asingeweka El Maamry ungesifia? Unamjua? Ana tatizo kiutendaji? Ana uwezo kitaaluma? Ana mapungufu?

kinacho matter ni uwezo na vigezo kama anavyo, wanaoangalia dini ni watu wenye mtazamo finyu na hasi, hivyo wanaweka maslahi ya dini mbele badala ya maslahi ya taifa letu
 
Kwanza naona una ajenda ya siri lakini pili hujafanya utafiti kidogo tu kujibu baadhi ya maswalo yako maana umewasilisha kwa kuuliza huku ukiwa na jibu baya kichwani mwako ukilenga kupata majibu mabaya.Kwa taarifa yako Dr.Natu si dini unayodhani wewe ndio maana watu kama wewe mulimtaja Sophia Simba kua ni muiaslamu na Dr. Gideon Shoo ni Mkiristu. Jambo la pili Dr. Natu ni mwana JF na amekua na mchango mkubwa kwa Taifa hili akiwa ndani ya bodi ya BoT na akiwa mhadhiri chuo kikuu si vyema kutoa faida kwa watu.

Tina nakuheshimu sana maana uko hapa JF kitambo na huwa huna ujinga kama wa FF.Lakini huja halalisha uyasemayo. Kuna ma skandali kila siku BOT huyu jamaa ndiyo mchango wake kwa Taifa ? Au kwa kuchukua posho BOT na huku analipwa huko UD ndiyo mchango . Narudia nakuheshimu kwaukongwe wako hapa naomba tupe maelezo ya kina .Tueleze mchango wake kwa Taifa na hasa tokea BOT ni upi.
 
Ni nani ananunua vitu toka nje FaizaFoxy? au nikuulize tena, ni nani alipewa jukumu la kuhakikisha hatununuwi vitu nje? na huyo aliyepewa hilo jukumu amelitekelezaje hadi sasa? Na ni kwanini tunanunua vitu toka nje? Ni kwa sababu 'supply ya mwatex' ni ndogo kuliko demand? au Tanganyika packers imezidiwa na order nyingi? oh... nimekumbuka, tumeshindwa kuzalisha bidhaa sisi wenyewe kwa sababu mbu wanatung'ata sana na sasa tunasumbuliwa na malaria, ndio maana tumewaomba 'watu wa marekani' watusadie vyandarua! right?

Swali hili huyu mnazi hawezi kukujibu unawesha kushangaa akasema ni jukumu la Chadema kumbe hajui ni genge lake yeye anaita CCM
 
Tuwekeni sawa sisi tuliotoka usingizini sasa hivi, kwani Naibu Gavana aliyekuwepo amekuwaje/kaenda wapi/kafa kama Balali lini?/ nk

I mean sina taarifa kutokuwepo kwa aliye kuwepo!
 
Back
Top Bottom