Acheni kulia lia enyi waislamu ! Msipende tende za bure, pateni akili ya kujali issues! Acheni na nonsense za kijahidina
Vp Rev mambo magumu? naona unaanza kutundika pumba humu ndani!Acheni kulia lia enyi waislamu ! Msipende tende za bure, pateni akili ya kujali issues! Acheni na nonsense za kijahidina
Hicho kipengele ni cha mwaka 2005 (kimeongezwa 2005 ), Nyerere hakuweza kukivunga, kama ulivyoeleza, kwa sababu alikuwa hayupo duniani. Kinastahili kurudiwa:Angelianza nyerere kwa kukataa bilateral relationship na Vatican City, ikisha angelifuata Lowassa angelikataa ile MOU yake na kanisa as far as I am concerned katiba ilianza kuvunjwa zamani msitake kutuletea vifungu ambavyo nyie wenyewe ndio wa kwanza kuanza kuvivunja sasa siwaelewi!!!
Hicho kipengele ni cha mwaka 2005 (kimeongezwa 2005 ), Nyerere hakuweza kukivunga, kama ulivyoeleza, kwa sababu alikuwa hayupo duniani. Kinastahili kurudiwa:
Ibara ya 19 (2)
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi
Mdondoaji,
Nyerere hakuvunja katiba katika kuanzisha uhusiano na Vatican. Vatican is a nation-state with a leader with ambassadors in many countries in the world. Si taasisi ya kidini kama unavyotaka kutuaminisha.
Sijakurupuka. Wewe ndio usiyetambua ukweli. Vatican ni state.Jasusi,
Usikurupuke soma kwanini nasema Vatican City ni taasisi na sio nchi kama unavyotaka kutuaminisha kwa kuanzia nikuulize inatambulika wapi? Pili kuwa na uhusiano na nchi mbali mbali kunategemea maana duniani kuna wakatoliki wanafika Bilioni sasa sioni ajabu kwani taasisi inayokubalika. Naona narudia rudia kila mara hili swala kwa maelezo zaidi rudia post zangu za nyuma. Na naona hamna hoja ya maana hapa kwaherini nilikuwapo!!!
Wanapodai waislamu kitu it is called nonsense but nyie mnapodai katiba mpya baada ya kushindwa Dr Slaa kitu cha maana kabisa. Mna matatizo nyie kupindukia na kwa taarifa yenu Tanzania ni ya waislamu na wakristo na sio ya wakristo kama mnavyotaka kutuaminisha.
Sijakurupuka. Wewe ndio usiyetambua ukweli. Vatican ni state.
w'd u plz come back again, inamaana ili tz iwe ya wakristo na waislam basi kiongozi mkuu wa waislam aidhinishwe na rais?!. Unamaana viongozi wa madhehebu ya kikristo huwa anaidhinishwa na rais?!. Mimi nadhani kuwa kiongozi mkuu wa kidini akiidhinishwa na serikali itabidi aitii serikali, hili haliwezi kumnyima uhuru?!. Nipe sababu kwanini mnataka kiongozi wa dini aidhinishwe na serikali.
tanzania si nchi ya dini na katinba haijasema kadhi mkuu aidhinishwe na rais. hawa jamaa wanataka kutupeleka somalia au Nigeria. mda nwingi wanawaza mahakama ya kadhi kadhi hawawazi mengineyo kama elimu na maendeleo? hiyo wasahau kama itakuepo kwani hawapati haki zao mahakama ya kawaida? unadhani katiba itawaruhusu muwe na mahakama yenu? mtakuwa mnaingiliana na uhuru wa mahakama za kawaida na pia hawana wahudumu ktk hizo mahakama.hamjasomab ado sheria na pia hii nchi sii ya kiislamu wala kikristo.Mlijidanganya kutokumpa kura mkristo mkidhani jk ndo atawaidhinishia mahakama hamjui imekula kwenu? hakuna cha kulipwa sahauni kabisa hivi hamwoni mnavonyanyasika na ufisadi,naisha magumu, umeme hakuna bado tu mwangangana na mahakama kwani mda mwingi mnawaza mahakama au mnawaza kusonga mbele kiuchumi? wakristo wanasonga mbele nyie mtaishia kulalama tu mkitaka hamieni zanzibar harutaki udini.
Hili suala la mahakama ya Kadhi linahitaji serikali ifanye maamuzi kwa umakini mkubwa sana kwani linaweza kutuletea matatizo ndani ya nchi yetu hapo baadae. Ninacho waomba mimi wenzetu waislamu wa hapa JF watusaidie kujibu maswali magumu ya kuwepo kwa Taasisi hii hasa kwenye mihimili ya kiserikali na kwa nini isijitegemee yenyewe na kama ni kweli Rais anapitisha jina la Kadhi Mkuu je majukumu hayo ya Rais yatatambuliwa na katiba yetu?
Mdondoaji,'Tofauti ya mahakama za sasa na mahakama ya kadhi ni kwamba mahakama za serikali hazina dini. Mahakama ya kadhi ni taasisi ya kidini. Isifadhiliwe na secular state. Period.Jibu moja tu kwani mahakama za tanzania zinafadhiliwa na nani? Jibu serikali sasa basi na mahakama ya kadhi itafadhiliwa na hiyo hiyo serikali.
Hii mada moto kweli, nimeipenda narudi tena kuchangia. Sielewi kwa nini majahidina wanachangaya suala la Kadhi na Vatican, jamani haya ni mabo tofauti kabisa. Vatican ni stae inayotambulika na dunia nzima kwamba inajitawala na kujiendeshea mambo yake, ipo ndani ya nchi ya Italia na hilo si hoja maana hata Lesotho imezungukwa na Afrika Kusini lakini ni nchi huru. Mfumo wa uendeshaji Vatican ni wa kidini lakini ina hadhi kama nchi zingine. Sasa kama utawala wa kidini wa Vatican ni nongwa mbona kuna nchi nyingi tu za kidini kama Iran, Irak. Sudan, Bahrain, Sudi Arabia na zote hizo zina balozi hapa Tanzania. Hivi hizo hamuzioni ila Vatican tu.
Kuhusu misamaha kwa taasisi za dini, ni kwa dini zote za wakristo na waislamu. Tatizo hapa ni kwamba waislamu wana taasisi chache zinazopta misamaha, sasa nani wa kumlaumu. Serikali ikitoa misamaha kwa mahospitali mnalalamika, ujinga unabaki palepale kwa sababu tu waisalamu wana hosptali chache, lakini je wagonjwa waislamu hawatibiwi katika hosptali hizo. Ni mengi ya kueleza labda niseme hawa jama ni wavivu wa kufikiri.
Mdondoaji,'Tofauti ya mahakama za sasa na mahakama ya kadhi ni kwamba mahakama za serikali hazina dini. Mahakama ya kadhi ni taasisi ya kidini. Isifadhiliwe na secular state. Period.
Serikali ilipotoa misamaha ya kodi maaskofu na wachungaji ndio wa kwanza kulalamika kwa nini?
Serikali inatoteza billion ngapi kwa siku?
Kumlipa mtu mmoja ndio ewe sababu.
Ubarozi wa vatcan mbona unahudumiwa na serikali sisi tumekaa kimya.
Mahakama itaanzishwa tu hata iwe vipi