Kosa ni kufikiri kuwa misamaha ya kodi inawanufaisha wakristo! Hivi hutambui kuwa sheria ya misahama nikwa taasisi zote za dini na miskiti/mashehe wamenufaika nayo? Pili hujui maeneo mengi watanzania wadini zote uhudumiwa na hosptal zinazomilikwa na makanisa?
Vatican ni nchi yenye status tofauti na Zbar. Ina barozi katika umoja wa mataifa kama nchi nyingine pia. Kuhudumiwa kwa ubarozi wa vatican unako kuzungumzia sijui ni kwa namna gani maana serikali haiwajibiki kuhudumia balozi (Tafuta kifungu kwenye Bajeti)
Unapojenga hoja ya kadhi ni vyema ukaitetea yenyewe ukitaka kulingasha yasiyo linganishika utakwama
Regards
Angalia mwengine huyu anazungumza asilolijua una uhakika unalolisema? Vatican tangu lini amekuwa mwanachama wa umoja wa taifa au ndio wale wale?