Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
Nitazitumia kwa kujenga uchumi imara wa nchi yangu; ili kuondokana na kuwa omba omba!!
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
E..weye weee..usituongopee hapa...ukipewa nafasi ya maamuzi na tani hiyo ya fedha..utatengeneza forum yako mwenyewe ya kujisifia achilia mbali kuwa memba wa JF!
Utawaweza mabinti wa Unguja weye?Nitaenda kuowa dada yake mtani wangu Junius. Nina imani Junius hataniona nina Kichaa kama ambavyo ameanza kuamini.
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
Huna imani wewe!Haitaweza kutokea
Nitazitumia kwa kujenga uchumi imara wa nchi yangu; ili kuondokana na kuwa omba omba!!
Nitakapopata ndio nitajua, sijui nitazipata vipi walllah!Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
Nitahakikisha member wote wa IPC nimewapitia na kutoa taarifa ya ubora kwa kamati kuu ya ISCNitakapopata ndio nitajua, sijui nitazipata vipi walllah!
nahisi ISC watatumia kwa ganja, kuhama nyumba za wageni na kwenye valeur..!!