Utazifanyia nini pesa zote hizi ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
 
Attachments

  • JAMII PESA.jpg
    JAMII PESA.jpg
    42 KB · Views: 206
Nitazitumia kwa kujenga uchumi imara wa nchi yangu; ili kuondokana na kuwa omba omba!!
 
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???

Inanikumbusha kwa mara ya kwanza nilipoenda kufanya Cash-count kwenye Strong room ya Bank fulani ambapo branch zote zilileta pesa head-quarter mwisho wa mwaka, kwakuwa sikuwahi kuona pesa nyingi hivyo (actually mlima ulikuwa mkubwa kuliko huo) tumbo liliniuma ghafla na ilibidi nipumzike kidogo kabla ya kuendelea.
 
Nitazitumia kwa kujenga uchumi imara wa nchi yangu; ili kuondokana na kuwa omba omba!!

E..weye weee..usituongopee hapa...ukipewa nafasi ya maamuzi na tani hiyo ya fedha..utatengeneza forum yako mwenyewe ya kujisifia achilia mbali kuwa memba wa JF!
 
Hizi pesa tukizipata sisi wabantu hakyaanani ni kuoa kila kukicha hadi zitatuua kama sio kuwa kichaa!!
 
Nitaenda kuowa dada yake mtani wangu Junius. Nina imani Junius hataniona nina Kichaa kama ambavyo ameanza kuamini.

E..weye weee..usituongopee hapa...ukipewa nafasi ya maamuzi na tani hiyo ya fedha..utatengeneza forum yako mwenyewe ya kujisifia achilia mbali kuwa memba wa JF!
 
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???

AISEE, kitu cha kwanza nitazihesabu nijue zipo kiasi gani, aafu kisha nitaajiri mshauri wa mambo ya fedha anipe mchanganuo wa miradi anuwai ambayo unaweza ikawa na return bila kuchakarika saaaana kama mlalahoi, ili, of course, niweze 'kuishi kwa nafasi' kidogo..au?
 
Kama kwa bahati nzuri Mungu akakupa PESA zote hizi hapa. Je utazifanyia matumizi gani ???
Nitakapopata ndio nitajua, sijui nitazipata vipi walllah!
nahisi ISC watatumia kwa ganja, kuhama nyumba za wageni na kwenye valeur..!!
 
nitaingia kila aina ya gharama kuwafungulia kesi mafisadi wa nchi hii
 
Nazitumia kuingoa CCM, hapo lazima niingoe. Na wanavyopenda dili lazima ninunue CCM, then naiua, naizika na kufanya matanga mimi mwenyewe !!!
 
Nitaanzisha benki ya kuwasaidia walalahoi kama ile aliyonzisha Prof Muhammad Yusuf wa Bangladesh inayoitwa Grameen Bank mpaka ikampatia nobel prize ya uchumi
 
Nitakapopata ndio nitajua, sijui nitazipata vipi walllah!
nahisi ISC watatumia kwa ganja, kuhama nyumba za wageni na kwenye valeur..!!
Nitahakikisha member wote wa IPC nimewapitia na kutoa taarifa ya ubora kwa kamati kuu ya ISC
 
Inategemea ni pesa ya wapi, umeipata kwenye mazingira gani (Kuna wezi walilazimika kuzikoka moto ili wasife na baridi!) na zinatoka wapi:

  1. Kwa shetani
  2. Bahati nasibu
  3. Umezikuta pangoni kama aladin
  4. Mgao wa EPA (Baada ya kuuza nchi kwa wale jamaa wenye bendera ya vinyotanyota! teh)
  5. Umefungua mradi wa kuprint noti fake
Vyanzo vya pesa kama hiyo ni vingi, hata wewe unaweza kupata kama unazitaka! Lakn amini nakwambia, Kazi yoyote halali haiwezi kukupa CASH kama hiyo (hata 10000 noti za bongo!), in Value inawezekana sana.
Kwa Zim$ hiyo pesa haitoshi hata kununua cresta au vitz!!! teh teh!
 
Back
Top Bottom