Utawala wa JK,Baadhi ya Wanajeshi Tanzania kukosa mshahara wa mwezi July

nafikiri kilichochelewesha ni huko kubadili mfumo kutoka cash payment by hand kuenda katika cash payment by bank accounts, wawe wavumilivu mwezi mmoja tu, na nijuavo mimi sio mwezi ni siku kadhaa.....
 
wakose tu mishahara kwanza wana kazi gani . nchi yenyewe hata vita hakuna
 
Wanajeshi sio raia hivyo hawagomi ila wanaasi. Na kuasi maana yake ni kutangaza rasmi kuwa hawamtambui Amiri jeshi mkuu. Na kwakufanya hivyo ni kutangaza vita na wale ambao bado wanamtambua Amiri jeshi mkuu. Wasiomtambua wanakuwa tayari wapo msituni hata kama wanaishi kariakoo. Sasa askari wakishaingia mstuni ni hatari sana kwa raia
 
the first class citizen ni wanajesh,by the way wanajesh hajelalamika,wanajeshi ndio watumish wanao anza kulipwa posho,ninamaanisha hakuna nchi inaweza kumlipa mwanajeshi mshahara.for more.infor c
 
Back
Top Bottom