Sumbi Sanchez
Member
- Apr 16, 2017
- 45
- 172
Biblia na Quran ni hadithi za kufikirika. Mtu mwenye akili timamu akifikiri vyema hawezi kuamini upuuzi ulioandikwa kwenye vitabu hivyo.
Na swali kwako mkuu, ikiwa narrations zote zilikua za middle east na kwamba kuna codes nyingi "hii ni kwa mujibu wa bandiko lako kama ulivowasilisha", swali je; ni nini kinachotukwamisha kuna na decoded vitabu kwa watu wetu wabantu, ambazo zitatatua changamoto ya kusoma direct?Biblia ipo kicode sana haipo waziwazi na kwazamani waliokua wanasoma hayo maandiko walikua watu ambao wapo initiated kupata hayo maarifa(hapo nachanganya na lugha za watu mana sina neno la kiswahili) ,biblia kuielewa vizuri ni kwa watu waliosoma theology hasa wale watu wenye elimu za kemet maana maandiko mengi ni nyaraka za tangu enzi za kemet(misri ya watu weusi) ,babylon na wenzao , ukisoma biblia ya kiafrika utapata mambo mengi, hata hao wayahudi hayo maandiko waliunga unga tokea wapo misri na walipokua utumwani babylon, ni maarifa ya jamii nyingi(civilizations) yakaja kuwekwa kwenye kitabu kimoja,, na code zake kuzielewa hadi utulie ila ukiisoma katika hali ya kimwili utakosa vingi,, ni personification ya universal energies.......,vitu vingi vipo kwenye code ndo maana hata wachawi wanaweza kuitumia hata mtu mwenye nia njema anaweza kuitumia,,,,,,sema wengi kwa sasa wanaisoma direct........,ndo maana kwa makanisa mengi hasa ya wakatoliki mtu hadi uwe padri unafundishwa vitu vingi,,,,,,watu wanasema wakatoliki wanaabudu sanamu mara bikira maria hapaswi kuabudiwa ila ukipata elimu za kemet utaelewa mengi na kemet ndo mambo yote yalipoanzia,,,maana ndo sehemu ambapo wagiriki walipata elimu zao na wakazipeleka kwa warumi
Kemet haikua middle east ni misri, ile ya watu weusi sio waarabu wa sasa, ndo wale waliojenga yale ma pyramid, kuna jamii za watu weusi zimeamka na zimeanza kuelewa kilichomo humo ndani hasa kwa marekani na watu wa west Africa ila huku kwetu wengi bado wamefungwa na narration za makanisa kuhusu hiko kitabu......kinachotukwamisha ni kwamba watu wanafata sana dini hasa hizi za kuletwa, miongozo ya kiroho haipo tu kwenye dini, dini kwa kiasi kikubwa zilitengenezwa na watawala kuwaweka watu kwenye hali fulani ya utumwa,,,,kuna religion na kuna spirituality, watu wajikite sana kwenye spirituality kuliko dini,,,,,na ukiisoma biblia katika mlengo wa kidini hutoboiNa swali kwako mkuu, ikiwa narrations zote zilikua za middle east na kwamba kuna codes nyingi "hii ni kwa mujibu wa bandiko lako kama ulivowasilisha", swali je; ni nini kinachotukwamisha kuna na decoded vitabu kwa watu wetu wabantu, ambazo zitatatua changamoto ya kusoma direct?
Sawa ndugu, so suala la decoding nini kifanyikeKemet haikua middle east ni misri, ile ya watu weusi sio waarabu wa sasa, ndo wale waliojenga yale ma pyramid, kuna jamii za watu weusi zimeamka na zimeanza kuelewa kilichomo humo ndani hasa kwa marekani na watu wa west Africa ila huku kwetu wengi bado wamefungwa na narration za makanisa kuhusu hiko kitabu......kinachotukwamisha ni kwamba watu wanafata sana dini hasa hizi za kuletwa, miongozo ya kiroho haipo tu kwenye dini, dini kwa kiasi kikubwa zilitengenezwa na watawala kuwaweka watu kwenye hali fulani ya utumwa,,,,kuna religion na kuna spirituality, watu wajikite sana kwenye spirituality kuliko dini,,,,,na ukiisoma biblia katika mlengo wa kidini hutoboi
Ni jitihada binafsi za mtu kusaka maarifa,,,elimu kama hizo huwezi ukasema ukae kanisani utegemee utapewaSawa ndugu, so suala la decoding nini kifanyike
Mkuu Ngoja na mimi nikuongeze ufikirishi ili uzidi kufikiria zaidi..Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.
Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.
2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.
Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?
3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?
Nawasilisha 🙏
So walioweza decode ujumbe na wao hawataki kushare ujumbe ulio-decoded ? Nini lengoNi jitihada binafsi za mtu kusaka maarifa,,,elimu kama hizo huwezi ukasema ukae kanisani utegemee utapewa
Hiyo Pangea umefundishwa na Wanajiografia . Hao Wanajiografia wanasema ni malaki au mamilioni ya miaka kufanyika formation ya manara haya.Nadhani kabla ya Nuru kulikuwa na PANGEA, bara lilikuwa moja tu
Ila kuna maswali hata ukiuliza hatukuwepo hakuna anayeweza kukujibu. Majibu yatakuja nadharia.
Tatizo kubwa la imani ya Mungu ni kwamba KILA KITU KINAWEZEKANA...... Imani ya Mungu haitaki matumizi ya AKILI, kilicho andikwa ndio hicho...... PERIODWakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.
Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.
2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.
Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?
3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?
Nawasilisha 🙏
Mkuu wewe umezisoma na unazijua hizo CODE?Biblia ipo kicode sana haipo waziwazi na kwazamani waliokua wanasoma hayo maandiko walikua watu ambao wapo initiated kupata hayo maarifa(hapo nachanganya na lugha za watu mana sina neno la kiswahili) ,biblia kuielewa vizuri ni kwa watu waliosoma theology hasa wale watu wenye elimu za kemet maana maandiko mengi ni nyaraka za tangu enzi za kemet(misri ya watu weusi) ,babylon na wenzao , ukisoma biblia ya kiafrika utapata mambo mengi, hata hao wayahudi hayo maandiko waliunga unga tokea wapo misri na walipokua utumwani babylon, ni maarifa ya jamii nyingi(civilizations) yakaja kuwekwa kwenye kitabu kimoja,, na code zake kuzielewa hadi utulie ila ukiisoma katika hali ya kimwili utakosa vingi,, ni personification ya universal energies.......,vitu vingi vipo kwenye code ndo maana hata wachawi wanaweza kuitumia hata mtu mwenye nia njema anaweza kuitumia,,,,,,sema wengi kwa sasa wanaisoma direct........,ndo maana kwa makanisa mengi hasa ya wakatoliki mtu hadi uwe padri unafundishwa vitu vingi,,,,,,watu wanasema wakatoliki wanaabudu sanamu mara bikira maria hapaswi kuabudiwa ila ukipata elimu za kemet utaelewa mengi na kemet ndo mambo yote yalipoanzia,,,maana ndo sehemu ambapo wagiriki walipata elimu zao na wakazipeleka kwa warumi
Nenda kanda ya ziwa ukaone waganga jinsi wanavyokitumia hiko kitabu...........Mkuu wewe umezisoma na unazijua hizo CODE?
Mkuu issue hapa ni UKWELI kuhusu Bibilia , unataka kuniambia wale waganga njaa na matapeli wa kisukuma ndio wanazijua code za Bibilia? Wale ni matapeli kama Kibwetere au Mackenzie au Mzee wa upako anavyo watapeli watu kupitia Bibilia?Nenda kanda ya ziwa ukaone waganga jinsi wanavyokitumia hiko kitabu...........
Ndugu mimi sipo katika maswala ya dini na wala siwaongelei hao matapeli wa makanisani, hio kitu ni kama elimu za upande wa pili wanaozitumia na majini yao,,,,mrumi hadi kukubali ukristo kwake ni kwamba aliweza kuzipangilia vizuri code za humo na imani zake za kipagani, biblia ina elimu za nyota ni tofauti na yanayoendelea humu makanisani hizo ni zuga tu........sikukuu za Christmas na hata hii pasaka kwa mtu wa dini atazihusisha na ukristo ila ni sikukuu zinazodondokea kwenye msimu fulani wa kinyota na hata wapagani zamani ndo zilikua tarehe zao za mambo yaoMkuu issue hapa ni UKWELI kuhusu Bibilia , unataka kuniambia wale waganga njaa na matapeli wa kisukuma ndio wanazijua code za Bibilia? Wale ni matapeli kama Kibwetere au Mackenzie au Mzee wa upako anavyo watapeli watu kupitia Bibilia?
Issue ni kwamba Bibilia ina Hadithi ambazo logically hazipo wala uwezekano wa kutokea haupo, sasa mnaanza kutetea kwa sema hizo ni CODE tu
Unless uniambie Bibilia sio kitabu maneno ya Mungu kwetu ili TUOKOKE
Mkuu,Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.
Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.
2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.
Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?
3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?
Nawasilisha 🙏
Binafsi Muumini wa Imani ya Mungu akisema “Kwa Mungu kila kitu kinawezekana” basi huwa naishia hapo kwa KUHESHIMU imani yakeJambo lingine ni kwamba, aliyewaswaga wanyama kuingia kwenye Safina ni Mungu mwenyewe. Hivyo lisilowezekana kwa binadamu linawezekana kwa Mungu
Hamna Cha code Wala Kodi acha janja janja story imekopiwa na kupaste karibu kila jamii Ina story ya gharika Hadi wamasai...mambo ya visingizio cjui mafumbo hatutaki sisi sio watoto hio story imetungwa na watu wasioelewa mfumo wa fizikia biolojia na jiographia...so ni story tu haina ukweli Wala haiwezekani kuwa kweli... mwenye ubishi aje nimpe maswali yangu hayo matatu ni machache kati ya miaBiblia ipo kicode sana haipo waziwazi na kwazamani waliokua wanasoma hayo maandiko walikua watu ambao wapo initiated kupata hayo maarifa(hapo nachanganya na lugha za watu mana sina neno la kiswahili) ,biblia kuielewa vizuri ni kwa watu waliosoma theology hasa wale watu wenye elimu za kemet maana maandiko mengi ni nyaraka za tangu enzi za kemet(misri ya watu weusi) ,babylon na wenzao , ukisoma biblia ya kiafrika utapata mambo mengi, hata hao wayahudi hayo maandiko waliunga unga tokea wapo misri na walipokua utumwani babylon, ni maarifa ya jamii nyingi(civilizations) yakaja kuwekwa kwenye kitabu kimoja,, na code zake kuzielewa hadi utulie ila ukiisoma katika hali ya kimwili utakosa vingi,, ni personification ya universal energies.......,vitu vingi vipo kwenye code ndo maana hata wachawi wanaweza kuitumia hata mtu mwenye nia njema anaweza kuitumia,,,,,,sema wengi kwa sasa wanaisoma direct........,ndo maana kwa makanisa mengi hasa ya wakatoliki mtu hadi uwe padri unafundishwa vitu vingi,,,,,,watu wanasema wakatoliki wanaabudu sanamu mara bikira maria hapaswi kuabudiwa ila ukipata elimu za kemet utaelewa mengi na kemet ndo mambo yote yalipoanzia,,,maana ndo sehemu ambapo wagiriki walipata elimu zao na wakazipeleka kwa warumi