Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

Biblia ipo kicode sana haipo waziwazi na kwazamani waliokua wanasoma hayo maandiko walikua watu ambao wapo initiated kupata hayo maarifa(hapo nachanganya na lugha za watu mana sina neno la kiswahili) ,biblia kuielewa vizuri ni kwa watu waliosoma theology hasa wale watu wenye elimu za kemet maana maandiko mengi ni nyaraka za tangu enzi za kemet(misri ya watu weusi) ,babylon na wenzao , ukisoma biblia ya kiafrika utapata mambo mengi, hata hao wayahudi hayo maandiko waliunga unga tokea wapo misri na walipokua utumwani babylon, ni maarifa ya jamii nyingi(civilizations) yakaja kuwekwa kwenye kitabu kimoja,, na code zake kuzielewa hadi utulie ila ukiisoma katika hali ya kimwili utakosa vingi,, ni personification ya universal energies.......,vitu vingi vipo kwenye code ndo maana hata wachawi wanaweza kuitumia hata mtu mwenye nia njema anaweza kuitumia,,,,,,sema wengi kwa sasa wanaisoma direct........,ndo maana kwa makanisa mengi hasa ya wakatoliki mtu hadi uwe padri unafundishwa vitu vingi,,,,,,watu wanasema wakatoliki wanaabudu sanamu mara bikira maria hapaswi kuabudiwa ila ukipata elimu za kemet utaelewa mengi na kemet ndo mambo yote yalipoanzia,,,maana ndo sehemu ambapo wagiriki walipata elimu zao na wakazipeleka kwa warumi
Na swali kwako mkuu, ikiwa narrations zote zilikua za middle east na kwamba kuna codes nyingi "hii ni kwa mujibu wa bandiko lako kama ulivowasilisha", swali je; ni nini kinachotukwamisha kuna na decoded vitabu kwa watu wetu wabantu, ambazo zitatatua changamoto ya kusoma direct?
 
Kemet haikua middle east ni misri, ile ya watu weusi sio waarabu wa sasa, ndo wale waliojenga yale ma pyramid, kuna jamii za watu weusi zimeamka na zimeanza kuelewa kilichomo humo ndani hasa kwa marekani na watu wa west Africa ila huku kwetu wengi bado wamefungwa na narration za makanisa kuhusu hiko kitabu......kinachotukwamisha ni kwamba watu wanafata sana dini hasa hizi za kuletwa, miongozo ya kiroho haipo tu kwenye dini, dini kwa kiasi kikubwa zilitengenezwa na watawala kuwaweka watu kwenye hali fulani ya utumwa,,,,kuna religion na kuna spirituality, watu wajikite sana kwenye spirituality kuliko dini,,,,,na ukiisoma biblia katika mlengo wa kidini hutoboi
 
Sawa ndugu, so suala la decoding nini kifanyike
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Mkuu Ngoja na mimi nikuongeze ufikirishi ili uzidi kufikiria zaidi..

Mwa 6:15 SUV

Hivi ndivyo utakavyoifanya; mikono mia tatu urefu wa safina, mikono hamsini upana wake, na mikono thelathini kwenda juu kwake.

Kwa lugha yetu..

(Genesis 6:14–16):
The ark is to be 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits high (approximately 134×22×13 m or 440×72×43 ft).

Urefu wa Twiga na Simba na wingi wa wanyama waliokuwepo unasuggest hiyo hadithi ni ya Uongo
 
Mimi nilijua unaulizia ilikuwa vipi ukubwa ule wa safina uliotajwa kwenye Biblia unaweza kuchukua wanyama wote pair?
 
Nadhani kabla ya Nuru kulikuwa na PANGEA, bara lilikuwa moja tu

Ila kuna maswali hata ukiuliza hatukuwepo hakuna anayeweza kukujibu. Majibu yatakuja nadharia.
Hiyo Pangea umefundishwa na Wanajiografia . Hao Wanajiografia wanasema ni malaki au mamilioni ya miaka kufanyika formation ya manara haya.
Na Kibiblia Dunia ina miaka elfu 6 tu
Hivyo kabla hujachanganya mambo ya kisayansi, Jiografia na dini jua kuwa Biblia au kiimani Dunia ina miaka elfu 6 tu
 
Story ya Nuhu haikutokea Duniani ilitokea kwenye sayari ya Mars wakati huo binadamu walikuwa wana ishi katika sayari ya Mars. Sasa basi ilitokea vita baina ya mataifa makubwa yaliyo kuwa katika sayari ya Mars, kiongozi wa taifa moja baada ya kuona kwamba ameshindwa vita akapanga njama za kupiga bomu ambalo linge kuja kulipua na kuitetekeza sayari yote ya Mars na vitu vyote vilivyomo ndani yake..

Miaka/miezi kadhaa kabla jambo hili halijafanyija, Mwenyezi Mungu akamuonyesha Nuhu katika ndoto kuhusu maafa ambayo yangekuja kuikumba sayari ya Mars.

Katika ndoto hiyo Mungu akamwambia Nuhu kwamba hakuna suluhisho zaidi ya kuondoka kwenye sayari ya Mars na kuelekea katika sayari jirani ya dunia.

Nuru alipaswa kusimamia project ya kutengeneza spaceship ( ambayo kwenye maandiko yenu imeitwa meli ya safina).

Spaceship hiyo ingetumika kuwasafirisha wanadamu pamoja na species wote wa wanyama kutoka sayari ya Mars na kuja Kuwa plant hapa duniani.

Hakukuwa na haja ya kubeba mimea kwa sababu mimea wangeikuta hapa hapa duniani.

So hao wanyama wawili wawili zilikuwa ni mbegu za kuja kuwapanda specie hao hapa duniani.

Nuhu aliagizwa pia awaambie watu wote kuhusu hatari itakayo kuja kutokea sayarini Mars hapo baadae na kwamba ponapona yao ni kujisalimisha ndani ya safina lakini watu karibu wote walimpuuzia Nuhu kwa sababu waliona kama vile anawaletea miyeyusho. Kumbuka wakati Nuhu anafanya yote hayo hiyo vita ilikuwa wala haijaanza. Vita ilikuja kuanza bbada ya Nuhu kukamilisha ujenzi wa safina na kupakia wanyama wote ndani ya safina. And soon thereafter bomu likalipuliwa na kuharibu mfumo wote wa sayari ya Mars likatokea giza kubwa na mafuriko sayari nzima.

Watu waliokuwa ndani ya safina hawakuwa affected kwa sababu safina( spaceship) ilitengenezwa kwa materials ambazo zilikuwa stronger than the deluge plus muda mfupi badae safina/ spaceship hiyo ili cross anga la Mars na siku arobaini baadae ikatua juu ya gimba la sayari ya dunia.
 
Ninacho amini ni kwamba, kunauwezekano tukio hilo lilitokea sehemu fulani ila sio tukio la dunia nzima, kwa sababu moja kubwa, kipindi hicho sidhani kama binadamu walisha kua wame link hizi continents, hivyo pale watu walipo ndipo hapohapo walihisi dunia ndio imeishia na wa upande wa pili vyivyo hivyo

Mf wa mareekani hawakujua kama kuna africa an vice_versa
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Tatizo kubwa la imani ya Mungu ni kwamba KILA KITU KINAWEZEKANA...... Imani ya Mungu haitaki matumizi ya AKILI, kilicho andikwa ndio hicho...... PERIOD

Ukweli ni kwamba Noah’s Ark story is one of nice story to tell the kids before they go to bed..... sio watu wazima na AKILI ZAO TIMAMU
 
Biblia ipo kicode sana haipo waziwazi na kwazamani waliokua wanasoma hayo maandiko walikua watu ambao wapo initiated kupata hayo maarifa(hapo nachanganya na lugha za watu mana sina neno la kiswahili) ,biblia kuielewa vizuri ni kwa watu waliosoma theology hasa wale watu wenye elimu za kemet maana maandiko mengi ni nyaraka za tangu enzi za kemet(misri ya watu weusi) ,babylon na wenzao , ukisoma biblia ya kiafrika utapata mambo mengi, hata hao wayahudi hayo maandiko waliunga unga tokea wapo misri na walipokua utumwani babylon, ni maarifa ya jamii nyingi(civilizations) yakaja kuwekwa kwenye kitabu kimoja,, na code zake kuzielewa hadi utulie ila ukiisoma katika hali ya kimwili utakosa vingi,, ni personification ya universal energies.......,vitu vingi vipo kwenye code ndo maana hata wachawi wanaweza kuitumia hata mtu mwenye nia njema anaweza kuitumia,,,,,,sema wengi kwa sasa wanaisoma direct........,ndo maana kwa makanisa mengi hasa ya wakatoliki mtu hadi uwe padri unafundishwa vitu vingi,,,,,,watu wanasema wakatoliki wanaabudu sanamu mara bikira maria hapaswi kuabudiwa ila ukipata elimu za kemet utaelewa mengi na kemet ndo mambo yote yalipoanzia,,,maana ndo sehemu ambapo wagiriki walipata elimu zao na wakazipeleka kwa warumi
Mkuu wewe umezisoma na unazijua hizo CODE?
 
Nenda kanda ya ziwa ukaone waganga jinsi wanavyokitumia hiko kitabu...........
Mkuu issue hapa ni UKWELI kuhusu Bibilia , unataka kuniambia wale waganga njaa na matapeli wa kisukuma ndio wanazijua code za Bibilia? Wale ni matapeli kama Kibwetere au Mackenzie au Mzee wa upako anavyo watapeli watu kupitia Bibilia?

Issue ni kwamba Bibilia ina Hadithi ambazo logically hazipo wala uwezekano wa kutokea haupo, sasa mnaanza kutetea kwa sema hizo ni CODE tu

Unless uniambie Bibilia sio kitabu maneno ya Mungu kwetu ili TUOKOKE
 
Ndugu mimi sipo katika maswala ya dini na wala siwaongelei hao matapeli wa makanisani, hio kitu ni kama elimu za upande wa pili wanaozitumia na majini yao,,,,mrumi hadi kukubali ukristo kwake ni kwamba aliweza kuzipangilia vizuri code za humo na imani zake za kipagani, biblia ina elimu za nyota ni tofauti na yanayoendelea humu makanisani hizo ni zuga tu........sikukuu za Christmas na hata hii pasaka kwa mtu wa dini atazihusisha na ukristo ila ni sikukuu zinazodondokea kwenye msimu fulani wa kinyota na hata wapagani zamani ndo zilikua tarehe zao za mambo yao
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Mkuu,
Kabla ya Gharika Kuu dunia ilikuwa sehemu moja. Ikumbukwe kwamba baada ya gharika ndipo kukatokea kitu kinaitwa GREAT DIVIDE yaani makabila yakaundwa kipindi cha mnara wa Babeli na watu wakatawanyika juu ya uso wa nchi kila nasaba kwa upekee wake.

Pia kumbuka (haijaandikwa) kwamba, jiolojia ya dunia kujigawa mabara na kadhalika vimetokea baada ya gharika kuu.....

Jambo lingine ni kwamba, aliyewaswaga wanyama kuingia kwenye Safina ni Mungu mwenyewe. Hivyo lisilowezekana kwa binadamu linawezekana kwa Mungu
 
Binafsi Muumini wa Imani ya Mungu akisema “Kwa Mungu kila kitu kinawezekana” basi huwa naishia hapo kwa KUHESHIMU imani yake

Shida inakuja pale mwana Imani anapotetea imani yake kwa kutumia Akili(Logic).
Logically Hadithi ya Noah HAIWEZEKANI
 
Biblia ipo kicode sana haipo waziwazi na kwazamani waliokua wanasoma hayo maandiko walikua watu ambao wapo initiated kupata hayo maarifa(hapo nachanganya na lugha za watu mana sina neno la kiswahili) ,biblia kuielewa vizuri ni kwa watu waliosoma theology hasa wale watu wenye elimu za kemet maana maandiko mengi ni nyaraka za tangu enzi za kemet(misri ya watu weusi) ,babylon na wenzao , ukisoma biblia ya kiafrika utapata mambo mengi, hata hao wayahudi hayo maandiko waliunga unga tokea wapo misri na walipokua utumwani babylon, ni maarifa ya jamii nyingi(civilizations) yakaja kuwekwa kwenye kitabu kimoja,, na code zake kuzielewa hadi utulie ila ukiisoma katika hali ya kimwili utakosa vingi,, ni personification ya universal energies.......,vitu vingi vipo kwenye code ndo maana hata wachawi wanaweza kuitumia hata mtu mwenye nia njema anaweza kuitumia,,,,,,sema wengi kwa sasa wanaisoma direct........,ndo maana kwa makanisa mengi hasa ya wakatoliki mtu hadi uwe padri unafundishwa vitu vingi,,,,,,watu wanasema wakatoliki wanaabudu sanamu mara bikira maria hapaswi kuabudiwa ila ukipata elimu za kemet utaelewa mengi na kemet ndo mambo yote yalipoanzia,,,maana ndo sehemu ambapo wagiriki walipata elimu zao na wakazipeleka kwa warumi
Hamna Cha code Wala Kodi acha janja janja story imekopiwa na kupaste karibu kila jamii Ina story ya gharika Hadi wamasai...mambo ya visingizio cjui mafumbo hatutaki sisi sio watoto hio story imetungwa na watu wasioelewa mfumo wa fizikia biolojia na jiographia...so ni story tu haina ukweli Wala haiwezekani kuwa kweli... mwenye ubishi aje nimpe maswali yangu hayo matatu ni machache kati ya mia
 
Back
Top Bottom