Uchaguzi 2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

Ungekuwa unajua Lugha ya sheria; Mpango maana yake ni UTARATIBU, sasa iweje wawe na mpango ila wasiwe na Utaratibu?
nafikiri uache kujikanyaga kwani unajibu hoja usiyoifahamu
Yaani wewe mnuka jasho kapuku ndio wa kunielewesha mambo ya Chadema ! 😆😆😆
 
Naona wanapotezeana muda.
Kwa tume hii ya chato?
Labda wanafaidika na ruzuku kila hakuna tume itakayotangaza matokeo ya kweli.
MTU mwnye akili zake hawezi kupoteza muda kwend kupiga kura ambazo tume ya chato ina matokeo tayari. Ni kupotezean mud na kupigiana makelele
Hapana mkuu usipoenda kupiga watakuwa wameshinda kihalali, acha tukapige wasitangaze na wao wajue hajashinda
 
Naona wanapotezeana muda.
Kwa tume hii ya chato?
Labda wanafaidika na ruzuku kila hakuna tume itakayotangaza matokeo ya kweli.
MTU mwnye akili zake hawezi kupoteza muda kwend kupiga kura ambazo tume ya chato ina matokeo tayari. Ni kupotezean mud na kupigiana makelele
Changes usually happens in a blink of an eye! Don't give up we never know what is gonna happen tomorrow!!
 
Naona wanapotezeana muda.
Kwa tume hii ya chato?
Labda wanafaidika na ruzuku kila hakuna tume itakayotangaza matokeo ya kweli.
MTU mwnye akili zake hawezi kupoteza muda kwend kupiga kura ambazo tume ya chato ina matokeo tayari. Ni kupotezean mud na kupigiana makelele
Ni kipi bora mkuu 'Saint Ivuga'

Kati ya "kupoteza muda", au "kuwapa ushindi" CCM hata bila ya kijasho chochote?

Mimi naona pamoja na kutokuwepo tofauti kubwa katika matokeo ya hayo mawili, kidogo ni nafuu CCM aoneka kuwa ni mbovu zaidi kwani ushahidi wa kura za wananchi alizopewa na 'tume' utakuwepo na hata asipoonyesha soni, watu watakuwa wakijua ni mwizi/jambazi.

Wewe kwa kutokwenda kupiga kura, unampa uhalali usiohojiwa na yeyote.
 
Ungekuwa unajua Lugha ya sheria; Mpango maana yake ni UTARATIBU, sasa iweje wawe na mpango ila wasiwe na Utaratibu?
nafikiri uache kujikanyaga kwani unajibu hoja usiyoifahamu
Kwa ufupi tu CHADEMA kuna utaratibu wa kutia nia kwa aina mbili;
a) Kuandika barua ya kutia nia na kuituma kwa Katibu Mkuu.

b) Kutangaza popote pale pasipo kuandika nyaraka yoyote.

Unapoambiwa na muandika Uzi huu kuwa huo ni utaratibu wa CHADEMA heshimu na pata ufahamu kupitia muongozo anaokupa.
 
Siongezi neno. Maelezo yote yako katika video hii.

Mods, mnaweza kuunganisha video hii na uzi wa Erythrocyte wenye mada yenye maudhui yanayofanana na hii...
 
1593459548689.png
 
Hakijazuiwa napenda kumwona Mbowe bungeni baada ya October maana asipokuwepo yeye dodoma panapooza ni mzee wa kutoa tips hana noma hasa kwa gambe
Mbona unaitaja Sasa, kama chakavu mbna mnawazuia wasifanye mikutano???

Ova
 
Back
Top Bottom