Kwanini Mzee Kinana amewapiga stop wagombea Urais ndani ya CCM miaka miwili kabla ya kufika tarehe ya Uchaguzi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba Rais aliyepo lazima apewe nafasi yakuongoza awamu ya pili.

Hii kauli ameitoa leo tarehe 2/01/2024 wakati uchaguzi unatarajiwa kufanyika 2025. Kulikuwa na umuhimu wakuanza kuweka vikwazo kwa wenye nia ya kugombea miaka miwili kabla ya siku ya uchaguzi?

Je, kuna mtu ameonyesha nia yakuchukua fomu kushindana na SSH ndani ya chama? Kama tayari mgombea Urais ndani ya chama anafahamika kwanini wagombea ubunge na udiwani tusiruhusiwe tuanze kujinadi kwa wananchi? Kwanini tupigwe marufuku kujiandaa?
 
Mbona kama Dr Samia na wasi wasi sana? Anamwogopa nani?

Membe hayupo waliobaki woote ni Chawa wake tu.
 
Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba Rais aliyepo lazima apewe nafasi yakuongoza awamu ya pili.

Hii kauli ameitoa leo tarehe 2/01/2024 wakati uchaguzi unatarajiwa kufanyika 2025. Kulikuwa na umuhimu wakuanza kuweka vikwazo kwa wenye nia ya kugombea miaka miwili kabla ya siku ya uchaguzi?

Je, kuna mtu ameonyesha nia yakuchukua fomu kushindana na SSH ndani ya chama? Kama tayari mgombea Urais ndani ya chama anafahamika kwanini wagombea ubunge na udiwani tusiruhusiwe tuanze kujinadi kwa wananchi? Kwanini tupigwe marufuku kujiandaa?
Hata magufuli aliwapiga stop miaka minne kabla ya uchaguzi
 
Bado watakuambia mbowe ni dictator wa chadema
Mbowe ni Mfalme hawa WA CCM NI Watawala, Matalan anachaguliwa na ana kikomo cha kutawala, lakini Mfalme NI mwenye nchi na watu wake, wote NI Mali zake na hawekewi Sheria na watumwa wake.

Hiyo ndiyo tofauti kati ya MFALME na MTAWALA.
 
Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba Rais aliyepo lazima apewe nafasi yakuongoza awamu ya pili.

Hii kauli ameitoa leo tarehe 2/01/2024 wakati uchaguzi unatarajiwa kufanyika 2025. Kulikuwa na umuhimu wakuanza kuweka vikwazo kwa wenye nia ya kugombea miaka miwili kabla ya siku ya uchaguzi?

Je, kuna mtu ameonyesha nia yakuchukua fomu kushindana na SSH ndani ya chama? Kama tayari mgombea Urais ndani ya chama anafahamika kwanini wagombea ubunge na udiwani tusiruhusiwe tuanze kujinadi kwa wananchi? Kwanini tupigwe marufuku kujiandaa?
UCHAWA hauna UMRI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa kujipendekeza unaitesa sn nchi
 
Je, kuna mtu ameonyesha nia yakuchukua fomu kushindana na SSH ndani ya chama? Kama tayari mgombea Urais ndani ya chama anafahamika kwanini wagombea ubunge na udiwani tusiruhusiwe tuanze kujinadi kwa wananchi? Kwanini tupigwe marufuku kujiandaa
CCM anatangulizwa mwenyekiti Wengine wanafuta
 
Mbowe ni Mfalme hawa WA CCM NI Watawala, Matalan anachaguliwa na ana kikomo cha kutawala, lakini Mfalme NI mwenye nchi na watu wake, wote NI Mali zake na hawekewi Sheria na watumwa wake.

Hiyo ndiyo tofauti kati ya MFALME na MTAWALA.
Samia no dikiteta anayejificha kwenye 4R wakati anatumikia 4U yani utapeli,ulaghai, upuuzi na ujinga.
 
Hii ni alama tosha ya kuona hata wale wazee kwenye chama wameamua kuwa chawa pro-max, hivi huyu makamu na Diblo wako na shida gani haswa hadi kujitoa akili kiasi hicho. Ni wakati wa uwazi lakini Mambo yanaenda Kwa kufinywa finywa kana kwamba ni Jambo la mtu mmoja kuna mantiki gani ya kutoa maoni yaliyondani ya maagizo kuhusu kutoa fomu moja , hapa atujengi ushindani ndani ya chama bali uchawa wa kiwango kikubwa na uoga tena hadi Kwa viongozi wa ngazi ya juu ya chama .Mwenyekiti kama upo nyuma ya upuuzi huu kemea na piga Chini usitishwe na vivuli vyako kwani sera zako ndiyo zitakuuza na si ubabe WA watu wachache Kwa kukupaka mafuta Kwa mgongo wa chupa , mwaga fomu hata 100 kisha ushindani uanze hapo utakuwa mwanamke WA nguvu na si upuuzi huu
 
Back
Top Bottom