Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

Futuza

Senior Member
Sep 9, 2022
127
512
Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.

Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi.

Nashauri Kwa kidato cha nne utaratibu ungekua pia matokeo yatoke Kwa majina.
 
Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili,darasa la Sana na darasa la nne,warudishe pia na kidato cha nne.

Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp..mambo hadharani,hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi.

Nashauri Kwa kidato cha nne utaratibu ungekua pia matokeo yatoke Kwa majina.
Unawalipia ada!?
 
Back
Top Bottom