Wee, ifute kabla mbagamoyo hajaiona, nakuonea huruma.
Me ckoment nicje NIKAFUTIWA BUMU CHUON!
atakujuaje na upo kininja huku?hah hah ha.ndo umeshacoment tayari
Hapana,ujue hii kitu JF ni moja ya chanzo cha kupatia taarfa juu ya mambo yanayoendelea kitaa,soooo...haya bhana,pia wakat unajrejista kumbuka uliweka email addres yako ambayo ina full majina yakooo!