Utajuaje kama scientific calculator ni original?

Msinikumbushe kuhusu hzo calculators maana nilishawah kua na calulator nilitest vyote ipo okay naingia kwenye ue kitu kimekata kabla hata sjaanza exam afu mtihan wa accounts hesabu mwanzo mwisho..umakin unahitajika I see unaweza zimia ktk exam

haahaha duh! hadi hiyo EXP, 9 na left arrow?
 
Msinikumbushe kuhusu hzo calculators maana nilishawah kua na calulator nilitest vyote ipo okay naingia kwenye ue kitu kimekata kabla hata sjaanza exam afu mtihan wa accounts hesabu mwanzo mwisho..umakin unahitajika I see unaweza zimia ktk exam

Hivi vitu inabidi ununue mwanzo wa mwaka na una-practice kutumia sio siku ya mtihani ndio unanunua
 
Acha Masyala kaka!

Method provided it's work for both fake and orginal Casio calculators!

Sema inatofautiana kulingana na utofauti wa calculators za Casio kuna nyingine ni FS 991 ambazo ndizo zitumiwazo mashuleni na kuna nyingine ni FS 82 nakuendelea!

Hiyo test ni Display test ambayo kuna nyingine una press shift + 7
na nyingine shift + 0



CASIO CALCULATORS DISPLAY TEST

Display Test
Test the display of your
Casio calculator to ensure
its functionality by holding
"Shift" and "7" and
pressing "On." Press "Shift"
to start the key test and
press every key on the
calculator. If the display
onscreen increases in value,
the key is functional.

Uko sawa mkuu.
 
Tuzungumzie scientific calculator. mfano scientific calculator ya casio. kuna original na duplicate. original inaweza kukaa na battery zaidi ya miaka miwili au hata mitatu. Binafsi nina scientific nloinunua 2011. mpaka leo haijaisha battery na iko poa. twende kwenye duplicate yake sasa hiyo casio. cha kwanza haikai na battery kwa muda mrefu ukicompare na original yake. battery ya duplicate haizidi mwaka. pia duplicate haipo vizuri kwenye upande wa hardware. scientific calculator ya casio inasehem ya solar. inaweza kucharge kutumia mwanga wa jua. sasa duplicate yake ile sehem ya kucharge kwa solar haifanyi kazi. duplicate scientific calculator ya casio, ile screen yake ukifanya kama unaisukuma hivi kwa juu. inaweza hata ikaslide ikachomoka. hilo tatizo halipo kwenye original. na errors kama hizo. zipo za kutosha...

Me yakwangu ni fx-991MS nilinunua 2008 hadi leo haijaisha battery nimeinunua kuanzia form 5 mpk sasa CPA naitumia i hope hii ni original tho kwa hiyo formula ya jamaa nakumbuka shule tukiitumia ilikuwa inakuja 25OK.. nashukuru kwa kunijuza kumbe hii njia ya OK it was wrong.
 
fYI niliinunua mwanzo wa semister ikaja nizimikia siku ya ue...how can u study accounts bila calculator?

Me yangu nilikuwa naitumia BAM na kwenye Accounts since 2008 march hadi nimemaliza form 6 nimeenda nayo chuo hadi 3rd year, nikamwazimisha mtoto wa PCM kamaliza na sasa naitumia mwenyeweCPA haijanizimikia.
 
Bonyeza M÷Y then bonyeza solve[shift +calc] ikileta "cant solve" basi ni orijino, ikileta "math error" ni feki
 
Mi yangu ni CASIO fx-991MS niliinunua mwaka 2002 mpaka leo naitumia, nimebadilisha betri mara 1 tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii method siyo ya kuaminika kwa 100%. tena hiyo 25 OK, inatokea kwa baadhi ya FX. Kumbuka kuna model nyingi za casio scientific calucators. Hiyo Trick ya kwenda hadi 25 OK/44 OK ni kwa baadhi ya MS S.V.P.A.M models. kumbuka kuna FX82MS S.V.P.A.M, FX100MS S.V.P.A.M,FX115MS S.V.P.A.M,FX570MS S.V.P.A.M,FX991MS S.V.P.A.M zote hizo ni Student calculators.
Safii
 
Kumekucha
20220205_113519.jpg
20220205_122650.jpg
20220205_122706.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom