Utajuaje kama scientific calculator ni original?

ukiiwasha wakati inaonesha 0 ilaze uiangalie kwa mlalo (horizontally) ukiona kioo kinaonesha 888888888888888888 ni fake.

pia angalia quality ta buttons, buttons zisichomoze juu sana, na pia buttons zisiwe zimelegelegea.
 
hebu jaribu kufuatilia hii trick

Step 1 : Press and hold Following Three buttons at same time

  • "Shift button"
  • "Number 7 button"
  • ON button..

Now in the display screen, you should see all options or all pixels are ON.

Step 2 : Then press Shift button continuously till Number '1' appears on the screen.

Step 3 : Now press all the buttons in the calculator starting from Alpha button sequentially, except for the "ON" button..

Step 4 : After pressing all buttons, finally press "="
then it should show '44 OK'..
If it shows, '44 OK' then the calculator is good for your Engineering Mathematics..

Basically CASIO is a Good brand for Calculators...

enjoy++:nod::nod::nod:

Kwa anaejua ani saidie
Natanguliza shukrani
 
Kweli kabisa, step nne za kijicho kivuli ndio zinatumika kutambua caliculator yako ya CASIO kama ni original au la.
Siku nanunua ya kwangu nilifanya hivyo ila iliandika 25 OK si 44 OK ipo vizuri na bado naitumia. Ukikosea kununua itakusumbua na utaichukia utakuta zingine button ngumu sana kubofya.
 
Your Wellcome !!

enjoy++

hebu jaribu
kufuatilia hii trick

Step 1 : Press and hold Following Three buttons at same time

  • "Shift button"
  • "Number 7 button"
  • ON button..

Now in the display screen, you should see all options or all pixels are
ON.

Step 2 : Then press Shift button continuously till Number '1' appears
on the screen.

Step 3 : Now press all the buttons in the calculator starting from Alpha
button sequentially, except for the "ON" button..

Step 4 : After pressing all buttons, finally press "="
then it should show '44 OK'..
If it shows, '44 OK' then the calculator is good for your Engineering
Mathematics..

Basically CASIO is a Good brand for Calculators...

enjoy++:nod::nod::nod:

much thanks.!
 
Kweli kabisa, step nne za kijicho kivuli ndio zinatumika kutambua caliculator yako ya CASIO kama ni original au la.
Siku nanunua ya kwangu nilifanya hivyo ila iliandika 25 OK si 44 OK ipo vizuri na bado naitumia. Ukikosea kununua itakusumbua na utaichukia utakuta zingine button ngumu sana kubofya.

Acha Masyala kaka!

Method provided it's work for both fake and orginal Casio calculators!

Sema inatofautiana kulingana na utofauti wa calculators za Casio kuna nyingine ni FS 991 ambazo ndizo zitumiwazo mashuleni na kuna nyingine ni FS 82 nakuendelea!

Hiyo test ni Display test ambayo kuna nyingine una press shift + 7
na nyingine shift + 0

CASIO CALCULATORS DISPLAY TEST

Display Test
Test the display of your
Casio calculator to ensure
its functionality by holding
"Shift" and "7" and
pressing "On." Press "Shift"
to start the key test and
press every key on the
calculator. If the display
onscreen increases in value,
the key is functional.
 
Hii method siyo ya kuaminika kwa 100%. tena hiyo 25 OK, inatokea kwa baadhi ya FX. Kumbuka kuna model nyingi za casio scientific calucators. Hiyo Trick ya kwenda hadi 25 OK/44 OK ni kwa baadhi ya MS S.V.P.A.M models. kumbuka kuna FX82MS S.V.P.A.M, FX100MS S.V.P.A.M,FX115MS S.V.P.A.M,FX570MS S.V.P.A.M,FX991MS S.V.P.A.M zote hizo ni Student calculators.

hebu jaribu kufuatilia hii trick

Step 1 : Press and hold Following Three buttons at same time

  • "Shift button"
  • "Number 7 button"
  • ON button..

Now in the display screen, you should see all options or all pixels are ON.

Step 2 : Then press Shift button continuously till Number '1' appears on the screen.

Step 3 : Now press all the buttons in the calculator starting from Alpha button sequentially, except for the "ON" button..

Step 4 : After pressing all buttons, finally press "="
then it should show '44 OK'..
If it shows, '44 OK' then the calculator is good for your Engineering Mathematics..

Basically CASIO is a Good brand for Calculators...

enjoy++:nod::nod::nod:
 
Mkuu hivi ukisema Fake unamaanisha nini ?; mimi ninachojua Fake ni pale ambapo labda wanaweka Brand ya Casio wakati mtengenezaji sio Casio; cha maana scientific calculator zipo nyingi sana cha muhimu angalia brand ambayo umeshamuona nayo mtu anatumia na haisumbui na gharama sio kubwa basi na wewe ununue
 
Utakuta kwenye baadhi ya calculations ina jizima ghafla au moja kwa moja! Inategemeana na fomula zenyewe! Mana si huwa wana fake brand !
Kwa mfano fx 911MS lakini ndani haiwezi kusolve formula zote hizo!

Nakumbuka kuna method moja hivi X/2=0 kama nakumbuka vizuri!
Huwa inakaa kwa sekunde chache afu then Ikiandika Can't Solve ujue ni Orginal!
 
Mkuu hivi ukisema Fake unamaanisha nini ?; mimi ninachojua Fake ni pale ambapo labda wanaweka Brand ya Casio wakati mtengenezaji sio Casio; cha maana scientific calculator zipo nyingi sana cha muhimu angalia brand ambayo umeshamuona nayo mtu anatumia na haisumbui na gharama sio kubwa basi na wewe ununue

Fake ni ile ambayo haijatimiza viwango vinavyotakiwa. Ukiitumia hata battery yake haikai sana. sio zaidi ya mwaka. Pia ni rahisi kuharibika. unaweza ukashangaa imezima tu ghafla na haiwaki tena. kuna errors ndogo ndogo kama hizo utaexperience ukiwa na fake scientific calc
 
Sasa hapo labda tungezungumzia brands gani hazifai na sio bora..., sababu mimi leo nikileta calculator yangu ya brand ya lets say "Kikokotoa" kama sio bora labda utasema sio bora ingawa ni original sababu "Kikokotoa" zote zipo hivyo tofauti na labda mtu akitengeneza yake mfano "Kibonyezeo" alafu akaweka brand yangu ya "Kikokotoa" wakati sio kweli basi hapo "Kibonyezeo" itakuwa fake hata kama ni nzuri kuliko 'Kikokotoa"
 
Tuzungumzie scientific calculator. mfano scientific calculator ya casio. kuna original na duplicate. original inaweza kukaa na battery zaidi ya miaka miwili au hata mitatu. Binafsi nina scientific nloinunua 2011. mpaka leo haijaisha battery na iko poa. twende kwenye duplicate yake sasa hiyo casio. cha kwanza haikai na battery kwa muda mrefu ukicompare na original yake. battery ya duplicate haizidi mwaka. pia duplicate haipo vizuri kwenye upande wa hardware. scientific calculator ya casio inasehem ya solar. inaweza kucharge kutumia mwanga wa jua. sasa duplicate yake ile sehem ya kucharge kwa solar haifanyi kazi. duplicate scientific calculator ya casio, ile screen yake ukifanya kama unaisukuma hivi kwa juu. inaweza hata ikaslide ikachomoka. hilo tatizo halipo kwenye original. na errors kama hizo. zipo za kutosha...
 
Msinikumbushe kuhusu hzo calculators maana nilishawah kua na calulator nilitest vyote ipo okay naingia kwenye ue kitu kimekata kabla hata sjaanza exam afu mtihan wa accounts hesabu mwanzo mwisho..umakin unahitajika I see unaweza zimia ktk exam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom