Utajiri wa Makamanda wa Jeshi la Polisi, CCM na Maafisa Upepelezi unatokana na nini?

OPORO

Member
Apr 22, 2012
59
14
Wapendwa wana JF,

Wapalelezi, makanda wa polisi wilaya, mikoa, na maofisi wengi wa jeshi la polisi wanaongoza kwa utajiri, utajiri wao unatokana na kazi ya kulinda uhalifu nchini,umefika muda wa kufanyaia uchunguzi na kuchua vyazo vya mali nyingi wanazomiliki makamanda wa vyombo vya dola kama TAKUKURU, JWTZ, JKT.

Viongozi wengi wa vyombo vya dola kuwa na utajiri wenye mashaka ndio msingi wa kulinda uovu na kugeuka kuwa mawakala wa CCM. Je, nini kifanyike?
 
Hao wote uliowataja wanashirikiana na waaharifu na majambazi kuwaibia wananchi,polisi wa tz ndio wezi namba moja take it from me believe dat polisi ndio wezi namba moja mark my word bway!!
 
Haki iko mbinguni. Ila hata hapa duniani ipo ila ukidai ndio hivyo kila siku polisi. E mungu mkuu ulietuumba wote hapa duniani tunakuomba ufanye haki itendeke kwa kila mwenye haki. Na uwaadhibu wale wanaotumia madaraka yao kukandamiza haki ya mwingine. Wote tuseme AMINNNNN!!!
 
Kwan mali mmeziona kwa hao tu je mafisad na wabunge wanaojilimbikizia mali na posho mbona hamsemi coz posho ya police laki na nusu wabunge je tafakar kabla ya kufanya maamuz but ni muono wangu tu.
 
Nyie hamjipendi sio?

zombepistol.jpg
 
Hivi zile Trilion 3 za General Nshimbo, alizo Deposit kule SA zilisharudishwa Tz?
 
Your observatio n is correct.Ni kweli viongozi wengi wa majeshi yetu wengi wana utajiri wa mashaka.Bila shaka yeyote utajiri huo kweli unatokana na mi tandjao ya kihalifu.No wonder nchi yetu iwmekuwa ya kijambazi,kwa vile wale waliopaswa kutokomeza ujambazi,wenyewe ni majambazi.Nani sasa amfunge paka kengele?Tuko njia panda.
Wapendwa wana JF,Wapalelezi,makanda wa polisi wilaya,mikoa,na maofisi wengi wa jeshi la polisi wanaongoza kwa utajiri,utajiri wao unatokana na kazi ya kulinda uhalifu nchini,umefika muda wa kufanyaia uchunguzi na kuchua vyazo vya mali nyingi wanazomiliki makamanda wa vyombo vya dola kama TAKUKURU,JWTZ,JKT.

Viongozi wengi wa vyombo vya dola kuwa na utajiri wenye mashaka ndio msingi wa kulinda uovu na kugeuka kuwa mawakala wa CCM.Je,Nini kifanyike?
 
Observation yako iko sahihi,wengi ni matokeo ya rushwa pamoja na kula mafungu yanayopelekwa kwao kwa ajili ya uendeshaji wa kila siku wa kazi za Polisi,,mtu anapelekewa fungu la mafuta anakula nusu ndo maana kila siku polisi ni ombaomba wa mafuta kwa matajiri,,pia posho mbalimbali za askari kama wanaposafiri,,pesa wanazopaswa kulipwa wanapokuwa na mainformers nk
 
Hivi zile Trilion 3 za General Nshimbo, alizo Deposit kule SA zilisharudishwa Tz?
hiyo ishu imezimwa kimya kimya ..........na huyo ni mmoja tu ana hela zote hizo ambayo ni budget ya wizara kwa mwaka.

acha tu hii nchi.
 
hiyo ishu imezimwa kimya kimya ..........na huyo ni mmoja tu ana hela zote hizo ambayo ni budget ya wizara kwa mwaka.

acha tu hii nchi.
Wanaficha wanaogopa nini ?Au yeye anabeba wengi nyumba huyo Shimbo?
 
Tuongezee na TRA pamoja na viongozi wa mashirka ya umma.Ila usishangae jamii inawaona kama watu waliofanikiwa na ni mfano wa kuigwa na wale ambao bado hawajafikia hapo katika maisha yaliyojaa dhuruma.Jamii inafika wakati wa kuwatukuza kama miungu na watu wenye neema na kusahau kuwa jamii hiyo ndiyo imetapeliwa au kuibiwa na hao watu.Jambo ili linaifanya jamii kuaralisha uovu na rushwa na kujisahaau kuwa inapoteza mwelekeo because of VICE AND DEVIANCE.
 
Kova ni jambazi sugu tangu akiwa RCO Arusha ndiye alikuwa akilinda majambazi sugu na wauza unga na milungi pale msikitini-Bondeni na majambazi yaliyokuwa navamia watalii kule mbugani na akawa amepewa rushwa ya gari la utalii.Ni mtu hatari labda kwa watu wasiojua Polisi ndio wanaweza kumwani akiongea.
 
Wapendwa wana JF,

Wapalelezi, makanda wa polisi wilaya, mikoa, na maofisi wengi wa jeshi la polisi wanaongoza kwa utajiri, utajiri wao unatokana na kazi ya kulinda uhalifu nchini,umefika muda wa kufanyaia uchunguzi na kuchua vyazo vya mali nyingi wanazomiliki makamanda wa vyombo vya dola kama TAKUKURU, JWTZ, JKT.

Viongozi wengi wa vyombo vya dola kuwa na utajiri wenye mashaka ndio msingi wa kulinda uovu na kugeuka kuwa mawakala wa CCM. Je, nini kifanyike?

Ukitaka kujua wanaupata wapi hebu nenda Kule maeneo ya Bunju baharini ukiona kuna watu wanavusha mizigo kupitia baharini kwa kificho nenda kawastue Polisi mara nyingi wanakuwa na Landcruiser flani then wafuatilia mpaka mwisho utaona ni namna gani wanavyotengeneza pesa.
 
Back
Top Bottom