LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
Mtumishi wa umma au mwanasiasa wa upinzani au tawala ipo wazi kuwa amekuwa mtumishi wa umma na siasa katika kipindi chote cha maisha ya kazi. Sasa utajiri unatoka wapi?
Hiì imekuwa kawaida kwa watumishi wa umma nà hata viongozì wa kisiasa wa upinzani na chama tawala kujijengea utajiri na kuonekana ni kawaida.
Sioni utajiri ndani ya utumishi wa umma na siasa nje ya ubadhirifu, Rushwa, michezo ya kisiasa na ufadhili wa mafisadi.