Ukiwa na mzazi au ndugu Mtumishi wa Umma analalamikiwa utasimama upande gani?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,337
Ukiwa na mzazi, ndugu, jamaa au rafiki yako wa karibu ambaye ni Mtumishi wa Umma au Mwanasiasa na ukaona live, kwenye vyombo vya habari au mitandao ya kijamii analalamikiwa labda kwa ufisadi, rushwa au kudhulumu haki za watu unaweza kuwa upande wa walalamikaji?
 
Aah wapi, kila mtu na mtuwe!
Niliwahi kuwa karibu na mtoto wa Chenge miaka ya nyuma, alikua anamzungumzia baba yake kama hero flani …. Meanwhile wabongo wanamwita fisadi etc
 
Aah wapi, kila mtu na mtuwe!
Niliwahi kuwa karibu na mtoto wa Chenge miaka ya nyuma, alikua anamzungumzia baba yake kama hero flani …. Meanwhile wabongo wanamwita fisadi etc
!
 
Hao wenye ushahidi hawajachukua hatua ,hapo wametoa mwanya kwa ndugu kuhisi ni wivu tu. Ila kama ndugu Ana tabia mbaya ,nafanya uchunguzi kujiridhisha, kisha ntampa ushauri kwa upendo mkubwa
 
Kama ni tabia inayohusiana na UFISADI nitampongeza sana na kumtia moyo..Kuhurumia watanzania ni bora uhurumie wanyama wa Mikumi na Ngorongoro
 
Back
Top Bottom