Utajiri wa Kaseja ni ugolikipa tu?

Hiyo ni dalili nzuri ya wivu wa kike, fanya kazi kwa bidii upate fedha, usitumie vibaya muda wako kutafuta utajiri wa mtu. Fanya yako.


Kwa kujifanya hamfatilii ya watu ndio maana watanzania mnaibiwa hata Twiga kwenye mbuga zenu nanyi mnabaki kutumbua macho tuuuu. Katika hali ya kawaida si vibaya mtu kuhoji kwa kuwa maisha yetu yanaonekana na kipato chetu kinajulikana sasa iweje mtu aibuke ghafla tu na watu tusihoji? safi Uda una kila sababu ya kuelewa na kujifunza ikibidi. Mambo yameshageuka sasa, lazima tuhojiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
Hebu tujuze huo utajiri alio nao ili nasi tujue maana hujabainisha tutaamini vp kama kweli ni tajiri? Hebu tiririka!!!
 
Kwani akina masanja walifanya je mkuu?

Na wewe hujui kama Masanja wanasema anauza sembe,yaani kipiga kelele tu kwenye TV eti ana nyumba excutive ya gorofa moja eti ya kuishi ambayo thamani yake inaweza ikakadiliwa kuwa milioni hata 150 plus magari mawili ambayo bei yake si chini ya mili 25 kila moja.Kweli ni kuigiza tu ndugu yangu, basi kila Mtanzania angekuwa mwigizaji.By the way kwa nini awe Masanja tu kwenye kundi zima la Komedi ndiyo atoke peke yake
 
Wewe unamuona kama anamiliki hivyo ndio utajili na kuanza kumhisia mwenzio kuwa anauza au anafanya biashara haramu? wewe kama una ushahidi wa biashara haramu anayofanya ulete na kama huleti basi wewe wewe hufai kwenye jamii hii!! unajua kadaka mechi ngapi na kaanza mpira akiwa na umri gani? una idadi kamili ya mishahara aliyopata tokea anaanza kucheza mpira mpaka leo umejua kuwa hizo mali zake itakuwa havilingani?.wewe bana acha maneno yako fanya kazi utaona matunda yako ,na kama unafanya kazi ya kulipwa laki tatu kwa mwezi wewe utalalamika mpaka kufa.
 
hoja ni nzito. wachezaji wengi wanaishi kwa anasa zaidi. Hivyo pato la mshahara au hata kama ni kuuza mechi kama wengine walivyochangia bado matumiz yao ni makubwa + mambo yetu yaleeeee ya kujirusha si mchezo, lazima salio libaki kiduchu. Mm naamini fedha lazima kusotea. Hii hali ya sasa vijana wa mjini kupata maisha bora kwa urahisi kulinganisha na shughuli zao huleta utata kwa wengi. Kikubwa niwasihi vijana kuacha tamaa za utajiri wa harakaharaka.
 
hoja ni nzito. wachezaji wengi wanaishi kwa anasa zaidi. Hivyo pato la mshahara au hata kama ni kuuza mechi kama wengine walivyochangia bado matumiz yao ni makubwa + mambo yetu yaleeeee ya kujirusha si mchezo, lazima salio libaki kiduchu. Mm naamini fedha lazima kusotea. Hii hali ya sasa vijana wa mjini kupata maisha bora kwa urahisi kulinganisha na shughuli zao huleta utata kwa wengi. Kikubwa niwasihi vijana kuacha tamaa za utajiri wa harakaharaka.


Nakubaliana na wewe kua hoja hii ni nzito lakini kuna machache naweza juyaongeza kuhusiana na Kaseja. Kwanza amekaa kwenye kiwango cha juu mda mrefu(upande wa golini), tokea mwaka 2000 mpaka leo ni mdamrefu sana. Pili kila mwaka amekua akipewa mkataba wenye dau kubwa na kuna mfanyabiashara aliyekua anampa hiace nje ya mkataba kila mwaka aliokua akikubali kubaki simba. Ule msimu aliosaini yanga yasemekana kuna mfanyabiashara aliyekua ameshaingiza hela ya kutosha kwenye account yake bila kujua kua amesaini yanga, Kaseja aliomba msamaha na akahidi kurejea tena kundini msimu utakaofuata. Sijui mali zake zote lakini ninachoweza kusema ni kua katika miaka kumi na mbili iliyopita(2000-2012) Kaseja amepewa karibu magari kumi nje ya mkataba.
 
huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?

msondo bila gurumo akuna kitu uda
fanya kazi utoke kimaisha ......kama ulichelewa za mwakyembe subiri za basiasi
pambana na maisha utatoka
 
Kwangu mi namheshimu hata anayeuza unga kwa sababu anatumia akili asikamatwe na aingize fedha, kuliko anayetumia akili yake kutafuta kujua utajiri wa mtu.
we unaweza kukubali kuwa shoga limradi uingize pesa tu . kwa akili yako hii.
 
Huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.Je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?

kwani ni bilionea kama wale wa Arusha ?..............au kampita Daimondi ?
 
Naona enzi ya nyerere inajirudisha. Kimya kimya ukiwa na vijisenti tunaulizana umepataje? Na akiingia mgeni mtaani tunaulizana katokea wapi? Mtazamo wangu Hivi TRA NAO HAWAJIULIZI MASWALI HAYA UTAJILI HUU UMETOKA WAPI? SAWA JE UNALIPIWA KODI?
 
Back
Top Bottom