Utajiri wa Kaseja ni ugolikipa tu?

Uda unaumwa? Kaseja ana utajiri gani? Au kisha mega kuanzia dada, shangazi, mama na demu? Kijana acha wivu kama unataka mali utayapata shambani

kaka Bujibuji nashukuru kusikia kaseja ni mkulima!kumbe wanavyosema 'kilimo kwanza' wana maana nzito!
 
Last edited by a moderator:
Naam, katika nchi zenye watu wenye akili, ni lazima kufahamu matajiri wanapataje fedha zaoh. Ndio njia nyepesi ya kupambana na biashara haramu na pesa chafu kama za madawa ya kulevya. Mtu yeyote aliye-clean hahitaji kuwa defensive bali atakuwa na shauku ya kuthibitisha amepataje mali zake. Vita vya biashara chafu havipiganwi kwa akaunti za Uswisi bali huanzia hapa hapa nyumbani. Tusiwe wavivu wa kufikiri ili kuliokoa taifa, tuache majibu ya kijinga kama haya. Tanzania inanuka huko nchi za nje, inahitaji overhaul. Halafu wapuuzi wachache wanaleta mipasho eti wivu wa kike, itakusaidia maishani n.k. Mpaka siku utakapoona mwanao ni teja ndipo utakaposhika adabu yako.

Tanzania inasifika kwa black money, huku watanzania wakisifia ujinga. Aibu hii itatukaa mpaka tutakapojua ni nini tunapaswa kufanya.
Kama na wewe ni msomi basi TZ ina safari ndefu. Hivi unakumbuka alilipwa sh ngapi wakati anatua Yanga plus mshahara, then akarudi Simba akalipwa sh ngapi plus mshahara na bonus! Usikimbilie kwenye hitimisho jaribu kushirikisha akili yako kuchanganua mambo.
 
Kila goli moja akiachia katika mechi na yanga ... manji anatoa nyumba

Kama Utajiri wake hauna shaka kwanini ufichwee? Kwenye hii Vita ya sembe ni lazima kila mwenye mafanikio makubwa kifedha yawe Questionable......!!
 
Mbali ya Ugolikipa biashara yake nyingine ilikuwa kuuza mechi, alipokataa kuwa Punda wa Msomali ndo akaambiwa kiwango kimeshuka!
 
Huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.Je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?
Anamshinda mtoto wa huyo aliyenyoosha mkono?

1185785_10201171877951805_240767055_n.jpg
 
Kwangu mi namheshimu hata anayeuza unga kwa sababu anatumia akili asikamatwe na aingize fedha, kuliko anayetumia akili yake kutafuta kujua utajiri wa mtu.

Hopeless kabisa. Unaona ni sawa watu watajirike kwa kutuharibia watoto? Naona kama una roho ya Ibilisi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hakuna wivu wa kike hapo huyo jamaa anataka kujua kama Kaseja kuwa na nyumba, Kimara Bonyokwa, Mbezi Temboni, na Mikocheni tena zote za kifahari ambazo zimejengwa kwa zaidi ya milioni 70 kama kweli ni hela anayoipata kudakia Simba tu.Plus juzi alikuwa nabirthday sijui sherehe gani nyumbani kwake Mbezi Temboni alitumia kama milioni 50 kweli zinapatikana kuwa nyanda tu wa Simba? Yaisje yakawa ya akina Masanja Mkandamizaji hapa

naona ulongo ndani ya maneno yako
 
Kama Utajiri wake hauna shaka kwanini ufichwee? Kwenye hii Vita ya sembe ni lazima kila mwenye mafanikio makubwa kifedha yawe Questionable......!!
kwakuanzia tunaomba na wewe uje utuwekee list ya unavyomiliki then tutauliza na wengine
 
Kama na wewe ni msomi basi TZ ina safari ndefu. Hivi unakumbuka alilipwa sh ngapi wakati anatua Yanga plus mshahara, then akarudi Simba akalipwa sh ngapi plus mshahara na bonus! Usikimbilie kwenye hitimisho jaribu kushirikisha akili yako kuchanganua mambo.


Hapo umechanganua nini sasa ewe msomi? Wala katika hoja yangu sijaweka hitimisho, ndugu msomi utumiae ubongo. Hoja inasimama kama ilivyo.
 
"Binadamu kwaninI eeeh, kwanini eeh ! ROHO YA KWANINI mpaka mnaingia kaburinI" - Twanga Pepeta.
 
ni soka tuu kama vile akina steven gerrard rooney,beckham soka inalipa piga tizi itakutoa
 
  • Thanks
Reactions: Uda
Back
Top Bottom