Utajiri wa Kaseja ni ugolikipa tu?

Hiyo ni dalili nzuri ya wivu wa kike, fanya kazi kwa bidii upate fedha, usitumie vibaya muda wako kutafuta utajiri wa mtu. Fanya yako.

Ni muhim na lazima kuwatilia shaka wanamuziki na wanamichezo wa hapa kwetu tz kwani wamekuwa makotena ya sembe now days
 
Hakuna wivu wa kike hapo huyo jamaa anataka kujua kama Kaseja kuwa na nyumba, Kimara Bonyokwa, Mbezi Temboni, na Mikocheni tena zote za kifahari ambazo zimejengwa kwa zaidi ya milioni 70 kama kweli ni hela anayoipata kudakia Simba tu.Plus juzi alikuwa nabirthday sijui sherehe gani nyumbani kwake Mbezi Temboni alitumia kama milioni 50 kweli zinapatikana kuwa nyanda tu wa Simba? Yaisje yakawa ya akina Masanja Mkandamizaji hapa

Kwani akina masanja walifanya je mkuu?
 
Kwangu mi namheshimu hata anayeuza unga kwa sababu anatumia akili asikamatwe na aingize fedha, kuliko anayetumia akili yake kutafuta kujua utajiri wa mtu.

Ndivu ilivyokutu ujumbe wa kamati kuu ya ubongo wako?
 
Ndo maana kuna watu wakiondolewa taifa stars inakosa wafadhili na kocha analaumiwa sana. Kila siku najiuliza, kwa nini kuna watu hawaondolewi taifa stars hata kama wanafanya utumbo?
 
Ok Kama haiwezekani tz, basi mtafute, muulize, akueleze, then Kama itakuwa n soka tu( which is exactly he gonna tell you), na ww uwe goalkeeper, then gnome droo, he is rich, you are rich.

Inaezekana ila cyo kwa tz
 
Kwangu mi namheshimu hata anayeuza unga kwa sababu anatumia akili asikamatwe na aingize fedha, kuliko anayetumia akili yake kutafuta kujua utajiri wa mtu.

usiombe mtoto wako ale unga.
utakuwa na laana wewe.
 
Toka Niko form two enzi hizo mwaka 2003 kaseja anadakia Simba tulivowatoa zamaleki, kabla ya hapo alikuwa Morro na alisajiriwa Kwa hela na gari aina ya chaser nakumbuka vizuri alinyakuliwa na Simba huku yanga wakimhitaji,, 2002 mpaka sasa 2013 mtu anatafta maisha, alaf wachezaji wanaishi kambini, tour, mda mwingi wako na timu ambapo wanaishi Kwa gharama za timu hapo salary inaingia hapo! Bado kapewa mihela na manji Kwa ule mwaka alipoenda yanga!! Wachezaji wa bongo wanalipwa hela na mashabiki wao nje ya moshahara
 
Hakuna wivu wa kike hapo huyo jamaa anataka kujua kama Kaseja kuwa na nyumba, Kimara Bonyokwa, Mbezi Temboni, na Mikocheni tena zote za kifahari ambazo zimejengwa kwa zaidi ya milioni 70 kama kweli ni hela anayoipata kudakia Simba tu.Plus juzi alikuwa nabirthday sijui sherehe gani nyumbani kwake Mbezi Temboni alitumia kama milioni 50 kweli zinapatikana kuwa nyanda tu wa Simba? Yaisje yakawa ya akina Masanja Mkandamizaji hapa

mkuu umeacha nyumba z a mikoani moro magorofani anamjengo dodoma mazengo anamjengo pia hapo dar ana daladala za kutosha sanan huwezi jua lakini biashara za mtu tusimfikirie vibaya tu ndo mambo ya kuwekeza hayo
 
huwezi kuwa tajiri kwa mpira wa ridhaa tunaomba fununu ya utajiri alionao ili tujustify kama unaendana na posho za ligi yetu ya ridhaa. simba ni timu maskini ambayo inaweza kukodiwa hata na mwigulu, kama kaseja atakuwa tajiri basi huu ni muujiza wa kuigiza wa mzee wa upako.
 
mie nataka kujifunza toka kwake

Ujifunze nini,wewe unacheza soka? Hivi hujayaona matangazo kama pepsi ambayo kaseja anaonekana. Kama unataka jifunza kacheze twiga star then tia bidii.
 
Huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.Je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?

Kushangaa ni muhimu haswa ukizingatia Kaseja si kipa wa kimataifa na hana sifa hizo. Ila kibongo bongo hata muuza vitumbua Mwananyamala, Magomeni, Kinondoni anaweza kuwa bilionea kwa mtaji wa hivyo viumbua. Si unamuona hata Azan? Mtu alikuwa dereva tu wa fiksi (taxi) pale Kino ila sasa ni bilionea na anasepa tu kama hana akili huku Kikwete akimchekea na kumsifia kwa ujanja alionao.
 
kuuza unga imekuja vipi hapa?mimi nauliza tu,kwani mwanangu anapenda mpira tena ugolie kama kaseja.sasa kashaanza kataa masomo anasema soka la bongo linalipa.natafuta ushahidi wa kumkubalia au kumkatalia.

Maelezo yako hayana mashiko!
 
Mbona majibu ya utajiri wa vijana yameshapatikana!! Unauliza majibu!!!
Huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.Je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?
 
Hakuna wivu wa kike hapo huyo jamaa anataka kujua kama Kaseja kuwa na nyumba, Kimara Bonyokwa, Mbezi Temboni, na Mikocheni tena zote za kifahari ambazo zimejengwa kwa zaidi ya milioni 70 kama kweli ni hela anayoipata kudakia Simba tu.Plus juzi alikuwa nabirthday sijui sherehe gani nyumbani kwake Mbezi Temboni alitumia kama milioni 50 kweli zinapatikana kuwa nyanda tu wa Simba? Yaisje yakawa ya akina Masanja Mkandamizaji hapa
aaah hu uowngo mjomba milioni 50 kwa birthday....uwongo mkubwa
 
Back
Top Bottom