Utafiti wangu: Wanaume hawapendi kuoa wanawake wazuri sana...

Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake hata kama ni pumba.
Mtoa mada unaonekana uwezo wako wa kujieleza ni mdogo mmmmno!

Kwa mwanaume mwenye kujua uthamani wa mwenza kuna vitu vingi vinavyochunguzwa kwa mwanamke kabla hujamuoa. Suala la uzuri unaouongelea sijui ni uzuri upi huo. Wanadamu tonatofautiana katika kuthamini uzuri wa nje wa mwanamke.
Kuna wanaopenda wanawake:-
weusi, wembamba,
weusi, wanene
weupe wembamba,
weupe wanene,
Virema n.k
Ukimuoji kila mtu ana sababu zake zinazomfanya apende aina fulani.

Nakubaliana na wewe kabisa lakini nahisi kama unaishi dunia ya wale watu wa zamani so nakubaliana wewe kwa mtazamo wako wa kizamani ila ishi leo na leo dunia haiko hivyo unavyoifikiria
 
kwahiyo unamaanisha uzuri wa sura, nyonyo, wowowo na miguu au?
Jamani mi nimesema maeneo ambayo wanaume wa sasa wanaangalia na kama maeneo hayo ndio yana vitu hivyo ulivyosema HALELUYA
 
mi nadhani watu wameelewa nn kinazungumzwa hapa sema tu wanataka kufikiria zaidi na kubadili maana
 
mi nadhani watu wameelewa nn kinazungumzwa hapa sema tu wanataka kufikiria zaidi na kubadili maana
Umeona eeh, hapa ndio unaona ile tabia tuliyonayo binadamu wengi....UNAFIKI!
 
Nakubaliana na wewe kabisa lakini nahisi kama unaishi dunia ya wale watu wa zamani so nakubaliana wewe kwa mtazamo wako wa kizamani ila ishi leo na leo dunia haiko hivyo unavyoifikiria
Asante kwa kunipeleka enzi za mwalimu.
 
Sababu kubwa kabisa ni kuogopa pressure zitakazoletwa na hisia za mkewe kutakwa na wanaume wengi hivyo kutokuwa na uhakika wa mwanamke huyo kuwa wake peke yake.

And vice versa. Hakuna upande wenye unafuu, pressure tupu!
 
mama blanca wangu ni mzuri wa kila kitu sura tabia umbo ..taja vyote....na sina presha na huwa siwazi hayo unayosema mleta mada.....zaidi ni kuwa wanaume wengi wengi huwa wanaogopa na kudhani mke wake ataibiwa na ndio wanaume wa type hii huwa wakioa anadiriki hata kumwachisha kazi mke wake ..awe mama wa nyumbani.....
 
kwa experience yangu mwanaume akiwa a wife mzuri anakuwa confidence kumtambulisha akiwa mbaya webgine hata kuongozana nao hawataki
 
kwa experience yangu mwanaume akiwa a wife mzuri anakuwa confidence kumtambulisha akiwa mbaya webgine hata kuongozana nao hawataki
Nakubaliana na wewe bibi.com, lakini umeongelea upande mmoja na huu niliousema mimi ni upande wa pili wa shilingi
 
Ntakupa ka mfano fulani hivi ka ukweli bila kujibu swali lako direct,

Mwanamke anapopita wanaume huanza kumwangalia usoni, kisha hushuka kifuani na anapompita humwangalia chini ya kiuno na kisha miguuni............. hizo ndizo sehemu ambazo wanaume huwaangalia wanawake na ndipo ninapopaongelea mimi

Unakutana na wanawake wangapi kwa siku?........................Then you might be spending your life time "kuwaangalia" viumbe hawa!
 
Mimi nimekuelewa sana mkuu na naweza kuchangia kama ifutavyo;
Kwanza ni kweli wapo wanawake wazuri na wao wanajijua kuwa ni wazuri hili halina ubishi, pili mwanamke mzuri ni yupi kwa upande wa mwanaume kila mmoja anakuwa na mtizamo wake wa kile anaita uzuri wa mwanamke kwake, hili ndio linaleta ubishani katika mada hii!

Sasa nijibu mada yako, ni kwamba si kweli kuwa kila mwanamke mzuri anaogopwa na wanaume linapokuja suala la ndoa ni kuwa mmelidhiana kuwa pamoja na uzuri alio nao anajikabidhi kwako maisha yake yote na kwa kufanya hivyo ameacha wengine wengi ambao walikuwa wanamuona mzuri huku wakitamani kuwa naye.

Isipokuwa suala la uaminifu ni tabia ya mtu binafsi bila kusahau kule kukinaiana kwa muda fulani au kukosa yale aliyoyatarajia kwako wakati mnaanza maisha ya ndoa, hili sasa halichagui wazuri hata hao wasio wazuri wanafanya sana jeuri na kujiona wanaweza kuwa na wengine wapenzi si lazima hao walio nao kwa wakati huo.
 
hii kali kwahiyo wengi huwa wanaoa wabaya huku wakiendelea kukodolea macho vya nje
 
Back
Top Bottom