Utafiti: Wanawake wafupi wenye mwili mdogo

Nimefanya utafiti huu kwa miaka saba.

Si wanawake wote ila asilimia 95 wanawake wa aina hii kwakweli sina hamu nao ni wakorofi kupindukia. Wengi wao hawashauriki na katika mahusiano, nimejikuta naachana nao bila sababu ya msingi.

Tofauti na wenye mwili na warefu huwa wanauvumilivu ule wa kibinadamu mpaka umchefue sana ndo huwa wanachukua maamuzi magumu, lakini hivi vyembamba na vifupi huwa vinanuna bila sababu ya msingi.

Nyuso zao nyingi zimekaa kihasira muda wote ninakajirani kangu hako yaani huwa nacheka mwenyewe tu kakorofi na jamaa yake huwa anakatwanga kila siku ila wapi. Halafu huwa vigumu kulia hata ukipe kibano cha namna gani.

Jembe afrika
Kuna ukweli ndani yake. Lakini kwa sababu.

Samahani kwa haya nitakayosema,

Wengi Wanawake wafupi wakati mwingi wanajiona wana mapungufu wakijilinganisha na wale warefu. Ukweli ni kwamba wanawake warefu wana advantages flani hata kama mbaya wa sura appearance yake ya urefu inamfanya kuwa mzuri na kujiamini. Kwa hiyo ilo ni suala la saikolojia Mfupi amepungua urefu na mrefu ameongezeka urefu. Wengi 70% wanawake wafupi ni wembamba (wadogo wadogo hivi) nalo ni shida kwao. Wana wivu hao balaaa!!.

Wana socialojia wanasema mtu mrefu na akili yake inaona mbali zaidi kuliko watu wafupi.

NB: Ndio maana wanawake wengi wanapenda wanaume warefu kuliko vidume vifupi!!!!
 
Very true
 
Aiseee uko Sawa kabisa, nishaachana nao kama watatu hivi, yaani havijiamini, kitu kidogo wanayakuza yaani!!!
Mimi nilisha kuwa na aina hiyo aisee.. nilikonda... mkorofi.. mbishi.. mjuaj.. hataki kujishusha tukigombana.. hata kama kosa ni lake. Wivu mpaka kwenye nywele. Nilikosa aman kabisa licha ya kujitahid kumrekebisha lakin wapi. Ikanibid niachie boda.. maana niliteseka sana
 
Pole mkuu
 
Nenda Rwanda mkuu
1477391856450.png
 
Nimefanya utafiti huu kwa miaka saba.

Si wanawake wote ila asilimia 95 wanawake wa aina hii kwakweli sina hamu nao ni wakorofi kupindukia. Wengi wao hawashauriki na katika mahusiano, nimejikuta naachana nao bila sababu ya msingi.

Tofauti na wenye mwili na warefu huwa wanauvumilivu ule wa kibinadamu mpaka umchefue sana ndo huwa wanachukua maamuzi magumu, lakini hivi vyembamba na vifupi huwa vinanuna bila sababu ya msingi.

Nyuso zao nyingi zimekaa kihasira muda wote ninakajirani kangu hako yaani huwa nacheka mwenyewe tu kakorofi na jamaa yake huwa anakatwanga kila siku ila wapi. Halafu huwa vigumu kulia hata ukipe kibano cha namna gani.

Jembe afrika
Inaewzekana mkuu acha kukumbushia machungu maana kuta za nyumba zina ficha mengi
 
Wakorofi ila watundu kwenye sitakwaista... nyie nendeni tu kwahao warefu, kwenye tendo limekaatu kama roboti
 
Back
Top Bottom