Tumetolewa AFCON kwa sababu wachezaji wengi ni wafupi na hawana miili iliyoshiba

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,399
15,977
Embu vuta picha timu zote zilizo pita 16 Bora wote Ni ma machemba na Kam IPO timu isiyo na machemba Basi Ni South Africa ila wote walio pita ni timu zenye machemba na vijna walio Shiba mihili na siyo Kama wakwetu walio na mihili iliyo dhohofika na walio na kimo Cha chini kbsa Cha sentiment 140

Tunafungwa Mara kwa Mara kwa sababu siyo kwa sababu hatujui kucheza Bali Ni kwasababu wachezaji wetu wote Ni wafupi na wale baadhi warefu hawanaa mihili iliyo shibaa kisawasawa chukulia mfano mwamnyeto ,Bacca , ni mabeki wazuri ila hawana mihili iliyo jaa na kushiba Ni vibeki vyembamba ambavyo haviwezi kuwekeana ubavu na maforward wa kikongo ,Senegal ,au ivory cost

Hata kufuzu kwetu kwenda afcon Ni kwa mbinde sana tulifuzu mbele ya uganda tunafuzu kwa shida kwa sababu wachezaji wetu hawana misuli na mihili Yao Ni dhohofu na Hili tuwe serious kweny Milo tunazo kula ili kujenge mihili iliyo shiba na imara

Jana nilikuwa kwenye mgahawa fln hapa dodoma nikamuona mcheji mmoja anacheza ligi kuu ya NBC ati anakula ndiz mzuzu mbili na mshikaki miwili na soda ya coca .ndiko nikajiulizaa Sasa huyu anaweza Kweli kuwekeana ubavu na mchezaji wa kikongo ,misiri ,au burkinafaso kwenye battle ya one to one

Mm siko hapa kuwataja wachezaji wafupi kwa vile wanajulikana vzr tu siyo forward Wala mabeki wako kibao sana Ni wafupi na hawana mihili iliyo shiba " pande la mtu"

Himaa wizara ya afya itoe na wahamasishe vyakula muhimu vya kujenga mwili na iliwe Mara kwa Mara na ulaji wa chipis na ndizi mzuzu ipigwe marufuku kwa wanaumee wote kote nchini

wanaume wale magimbi ,viazi vitamu na maziwa fresh na mtindi sambamba na ulagi wa mihogo iliyo chemshwaa pmj na ugali maharage yale mekundu ,ugali wa mtama na dengu tuachane na ulagi wa urojoo na chipsi hapo tutakuwa na wachezaji walio jaza mihili na kikosi Bora

Nakumbuka wayne Rooney alikuwa anauwezo wa kula kuku wawili peke ake sasa hapa kwetu mtu anakula chips na ndizi mbili na mshikaki miwili ya jero jero na anaitwa kwenye kikos Cha timu ya timu ya taifa

Ni Bora kuwa na wachezaji vibonge wenye nguvu kuliko twembamba na vifupi

Alfu na ninyi wanawake zaeni na wanaume warefu kuleta watu watakao kuja kuwa wanajeshi na wachezaji hodari
 
Uandishi unaboa
Mihili mihili
Machemba
Dhohofika aargh!
Ila una point usikilizwe na jifunze kuandika kiswahili.
 
Embu vuta picha timu zote zilizo pita 16 Bora wote Ni ma machemba na Kam IPO timu isiyo na machemba Basi Ni South Africa ila wote walio pita ni timu zenye machemba na vijna walio Shiba mihili na siyo Kama wakwetu walio na mihili iliyo dhohofika na walio na kimo Cha chini kbsa Cha sentiment 140
iko twembamba na vifupi

Alfu na ninyi wanawake zaeni na wanaume warefu kuleta watu watakao kuja kuwa wanajeshi na wachezaji hodari
sio kweli but naheshimu maoni yakoe
 
Ingekuwa mpira ni maumbo basi Marekani angekuwa bingwa wa Dunia Kila mara, Mwaikimba, Mzinze ,Boko wote ni warefu .
 
Sio kweli, tulifanya kosa kumpa timu yule kocha mzungu. Tukasahihisha makosa ila wachezaji na kocha wakafanya uzembe kwenye mechi na Zambia. Ile ndio mechi iliyokuwa ya kuipeleka Taifa stars hatua inayofuata tulikuwa na faida ya kuongoza goli moja na mpinzani kuwa pungufu
 
Embu vuta picha timu zote zilizo pita 16 Bora wote Ni ma machemba na Kam IPO timu isiyo na machemba Basi Ni South Africa ila wote walio pita ni timu zenye machemba na vijna walio Shiba mihili na siyo Kama wakwetu walio na mihili iliyo dhohofika na walio na kimo Cha chini kbsa Cha sentiment 140

Tunafungwa Mara kwa Mara kwa sababu siyo kwa sababu hatujui kucheza Bali Ni kwasababu wachezaji wetu wote Ni wafupi na wale baadhi warefu hawanaa mihili iliyo shibaa kisawasawa chukulia mfano mwamnyeto ,Bacca , ni mabeki wazuri ila hawana mihili iliyo jaa na kushiba Ni vibeki vyembamba ambavyo haviwezi kuwekeana ubavu na maforward wa kikongo ,Senegal ,au ivory cost

Hata kufuzu kwetu kwenda afcon Ni kwa mbinde sana tulifuzu mbele ya uganda tunafuzu kwa shida kwa sababu wachezaji wetu hawana misuli na mihili Yao Ni dhohofu na Hili tuwe serious kweny Milo tunazo kula ili kujenge mihili iliyo shiba na imara

Jana nilikuwa kwenye mgahawa fln hapa dodoma nikamuona mcheji mmoja anacheza ligi kuu ya NBC ati anakula ndiz mzuzu mbili na mshikaki miwili na soda ya coca .ndiko nikajiulizaa Sasa huyu anaweza Kweli kuwekeana ubavu na mchezaji wa kikongo ,misiri ,au burkinafaso kwenye battle ya one to one

Mm siko hapa kuwataja wachezaji wafupi kwa vile wanajulikana vzr tu siyo forward Wala mabeki wako kibao sana Ni wafupi na hawana mihili iliyo shiba " pande la mtu"

Himaa wizara ya afya itoe na wahamasishe vyakula muhimu vya kujenga mwili na iliwe Mara kwa Mara na ulaji wa chipis na ndizi mzuzu ipigwe marufuku kwa wanaumee wote kote nchini

wanaume wale magimbi ,viazi vitamu na maziwa fresh na mtindi sambamba na ulagi wa mihogo iliyo chemshwaa pmj na ugali maharage yale mekundu ,ugali wa mtama na dengu tuachane na ulagi wa urojoo na chipsi hapo tutakuwa na wachezaji walio jaza mihili na kikosi Bora

Nakumbuka wayne Rooney alikuwa anauwezo wa kula kuku wawili peke ake sasa hapa kwetu mtu anakula chips na ndizi mbili na mshikaki miwili ya jero jero na anaitwa kwenye kikos Cha timu ya timu ya taifa

Ni Bora kuwa na wachezaji vibonge wenye nguvu kuliko twembamba na vifupi

Alfu na ninyi wanawake zaeni na wanaume warefu kuleta watu watakao kuja kuwa wanajeshi na wachezaji hodari
Kama hiki ndiyo Kiswahili cha kisasa basi tumekwisha.
Halafu unaweza kuta ni kijana Msomi tu mwenye GPA ya kushiba!
Eti mihili, dhohofika,nk,nk
Hadi aibu.
 
Back
Top Bottom