Utafanyeje ikiwa rafiki wako wa JF anakupigia simu usiku wa manane?

jamani wewe shosti acha kuwa kinganganizi,
mwenzio ana mke unamfeel kitu gani,
kumbe jf kuna wadada vimeo eeh.
Na nyie wakaka mlioa muache kutoa toa hovyo namba zenu.
okay umeuliza utamfanya nini?
mtishie kuwa asipokoma utaweka namba yake ya simu hapa ili watu wanaomjua huko mitaani wajue kuwa yeye ni kinganganizi cha waume za watu.
Ila mtishie tu lkn usiiweke maana ukiiweka hapa namba yake na yeye akiiweka yako sijui utambeba mkeo kwa mbeleko gani.
ila kwa kiasi fulani umeyataka mwenyewe,
wewe kama umeoa kwa nin usiwe makini.
kwani urafiki wa pm hautoshi hadi mpeane namba,
halafu nahisi mmefikishana mbali sasa mwenzio kanogewa ndo unamwambia una mke.
hebu tuambie ukweli tujue jinsi ya kukusaidia,
hamjasex nyie?
kweli mtu urafiki wa kawaida tu ndio apagawe hivyo!
 
kweli baby kama ningetoa toa ovyo hapa si pangekuwa hapakaliki? mzima lakini?:hug:
 
Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo umempa na anajua status yako ya kindoa?

nitam feel tu na mimi....kuna mahali alishahisi na wewe unampenda ndo maana anajiachia hivyo na hamuheshimu hata mke wako na ndoa yako.....Tell her like it is,hutaki mazoea,unaheshimu na kuthamini ndoa yako.kama ana tatizo awasiliane nawe mapema(during the day)....!!
 
Michelle,,, think.....tumetoka mbali afu nahisi nina matatizo makubwa sana na wewe....how r u lakini?
 
jamani wewe shosti acha kuwa kinganganizi,
mwenzio ana mke unamfeel kitu gani,
kumbe jf kuna wadada vimeo eeh.
Na nyie wakaka mlioa muache kutoa toa hovyo namba zenu.
okay umeuliza utamfanya nini?
mtishie kuwa asipokoma utaweka namba yake ya simu hapa ili watu wanaomjua huko mitaani wajue kuwa yeye ni kinganganizi cha waume za watu.
Ila mtishie tu lkn usiiweke maana ukiiweka hapa namba yake na yeye akiiweka yako sijui utambeba mkeo kwa mbeleko gani.
ila kwa kiasi fulani umeyataka mwenyewe,
wewe kama umeoa kwa nin usiwe makini.
kwani urafiki wa pm hautoshi hadi mpeane namba,
halafu nahisi mmefikishana mbali sasa mwenzio kanogewa ndo unamwambia una mke.
hebu tuambie ukweli tujue jinsi ya kukusaidia,
hamjasex nyie?
kweli mtu urafiki wa kawaida tu ndio apagawe hivyo!
hahaha cheusi jamani shosti kanogewa,nadhani si mimi maana hata simu sina
 
Michelle,,, think.....tumetoka mbali afu nahisi nina matatizo makubwa sana na wewe....how r u lakini?

Tumetoka mbali halafu ukanidanganya sana....kuna siku nahamia kwako,usifikiri nimesahau au nitaishia kupiga simu za usiku....am fine thanks,how r u dear?l.o.l
 
am good, cant wait for that day, unajua kabisa kimila inaruhusiwa, umenionea Miss Judith?:smow:

Anachumbia,hukuona thread yake kuhusu mpango wake wa kumuambia yule aliyemchagua???

nitahamia basi wikiendi hii,ita wazee wote wa kimila ili mamaa anitambue tu kwa lazima...lolest
 
nimefurahi kumbe unajua mambo ya milla kuwa yanaruhusu, mwenyewe wala hana wasi wasi karibu ngonha nimwmabia mkabangili atayarishe kabisa chumba chako manake ni in da same house si unajua...

Miss Judith...hebu ngoja labda sredi ipo chit chat?
 
Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo umempa na anajua status yako ya kindoa?

Nadhani i hii ni story ya kahwa au wewe umejibadilisha kuwa ndo sterling otheriwise inawezekana ni vice versa wewe ndo msumbufu amekuonya na wewe unasema una mfeel.

So kifupi unataka mbinu za ziada. teh teh teh
electronic friendship and relationship is is very funny
 
Ndiye huyu msichana wako uliyekuwa unamzungumzia kwenye hii thread?

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/99662-msichana-wangu.html

Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.
Tatizo nikiwa naye mzee anagoma kabisa kupanda mtungi.
Nikienda kwenye makoloni mengine, napiga mzigi hadi asubuhi.
Fumbo hili limeniacha hoi, je ninarogwa na wanaonionea wivu kwa binti huyu, au tatizo laweza kuwa nini?
Binti akiondoka tu kurudi kwake, kitu kinasimama kama mnara wa voda.

Jana nilitembelewa tena na huyu binti mantashwaha aliyeumbwa akaumbika.
Akaniomba mchezo, kitu kikainuka. In and out tano hazikufika, mara mzee uji ukamwagika, demu akasikitika ile mbaya,
akafanya mautundu yake tena, kitu kikainuka, hakikukaa hata dakika mbili nikalowesha tena ahhhhh.
Sijui ni nini hii waungwana?
 
nimefurahi kumbe unajua mambo ya milla kuwa yanaruhusu, mwenyewe wala hana wasi wasi karibu ngonha nimwmabia mkabangili atayarishe kabisa chumba chako manake ni in da same house si unajua...

Miss Judith...hebu ngoja labda sredi ipo chit chat?

Navyopenda competition nakubaliana na hiyo ya IN DA SAME HOUSE.....Miss Judith,sikumbuki exactly ilikuwa wapi but i think jukwaa la mapenzi....ngoja nikalale mwenzio...usiniseme basi hadharani manake na wewe.....:A S-rose:
 
orait orait,,,,,,good night,
 
am good, cant wait for that day, unajua kabisa kimila inaruhusiwa, umenionea Miss Judith?:smow:

miss judy yupo busy kidogo kwa sasa,
ila kama ni mambo ya kiroho mim nipo,
si unajua mim na yeye tunafanana kwa wokovu wetu.
lol
 
Back
Top Bottom