Utafanyeje ikiwa rafiki wako wa JF anakupigia simu usiku wa manane?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,712
10,205
Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo umempa na anajua status yako ya kindoa?
 
Mnyang'anye namba yako ya simu!!!

Kama hataki kukuelewa we mblock tu....usiku wote huo anataka kukuharibia kwa mkeo!
 
heee,makubwa,bila shaka hatokusumbua tena kwa sababu huu ujumbe atakuwa ameshaupata,kama huingia jf mara kwa mara.kwa nini anakosa adabu? au mwambie simu akipiga atapokea wife.mpaka kuyasema humu,inaonyesha umeshachoka na usumbufu wake.kumbe baadhi ya wana jf wana mambo
 
Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo umempa na anajua status yako ya kindoa?

Wanaume waongo sana, bila shaka kwenye pm ulimtongoza, ukammega na hukumweleza ukweli kuwa umeoa.
Mwenzio kanogewa sasa ndio unamkataa.
 
mweleze mkeo aelewe kabla mambo hayajaharibika.

huyo rafiki anataka kuharibu ndoa yako kaka, jipange
 
Haya bana nitamwambia the number you are calling is not rechable p'se try again later
 
rafiki wa JF namba ya simu kapataje?
Kwenye PM hamtosheki kuwasiliana?
Kama mmepeana namba ya simu si mmalizane hukohuko au unataka kumshitaki kwa mods aliwe BAN?
Once mmepeana namba ya simu na mnawasiliana, sijui mmeshaonana, then iyo ni nje ya JF na hii thread ni utumbo
 
Nahisi atakuwa anakusoma sasa, so usihofu ataacha. Muache mwenzio wewe, mambo yote mmalizane humuhumu
 
asa ndugu yangu, mambo yenu ya private huko wayaleta hapa ya nini?

Namba umpe private, muwasiliane private, kisha leo uje umwanike hapa eti anakusumbua usiku?

hapa unamdhalilisha mkuu wangu...kwa nini usimwambia tu direct?
leo saa nane kasoro kumi na saba usiku nakupigia simu, siwezi kukumiss namna hii useme nisipige, no way
 
Back
Top Bottom