Utafanya nini ukikuta picha, video au jambo lako la aibu limevuja mtandaoni?

Salaam ndugu zangu,

Katika harakati zetu za maisha tunakutana na tunafanya mambo mengi sana. Kuna baadhi ya matukio tunayoyafanya tunatamani yajulikane na mengine tunatamani yabaki kuwa siri...
Inakuwa aje za aibu, wakati wanadhamiria kujichukua na kuzisambaza?
 
Taarifa hizo sio lazima ziwe picha na video, zinaweza kuwa hata matokeo yako ya shuleni, au jambo lolote ambalo wewe ulitamani watu wako wasivijue.
 
Nimecheka sana.
Kuna mmama alikuwa anasoma course ya IT pale Ucc posta. Alikuwa certificate, siku ameingia darasani akakuta pc anayo tumia vijana wa hovyo wameweka screen saver ya mwanamke yuko without any cloth. Badala ya kuzima monitor akaikumbatia watu wasione😅 na vile yuko siti za mbele, akaona aibu sana maana umri mkubwa na yuko na vijana wadogo class.
Hatari sana
 
Umenikumbusha enzi zile za Facebook ndiyo inaanza Anza Miaka hiyo.

Kuna jamaa akamwambia demu wake aliyemtongoza huko fb amtumie picha yake ya mbususu,bibie kwa ushamba badala ya kutuma messenger akaweka profile ili mwamba aione. Baada ya kuweka mbususu profile picha kwa kujiamini akamtext jamaa tayari nimeshakutumia,jamaa akauliza iko wapi mbona siioni!? Dada wa watu akajibu angalia kwenye fb yangu.

Jamaa akakuta likitumbua alilotumiwa limejaa kwenye profile na watu wanatiririka kulaani "sasa ndiyo ujinga gani huu". Akamrudia demu wake "bibie futa haraka hiyo picha umeweka sehemu siyo, watu wanaona"

Wenge la demu badala ya kufuta picha si akalog out kwa kudhani ndiyo hataonekana. Mitandao hi hii tumetoka nayo mbali Sana.

Vipi ikitokea umetegeshewa kamera bila kujua na ukakutana na picha au video zako mtandaoni. Utafanyaje?
Unaripoti kwenye vyombo husika
- Rejea picha za msaanii wa na yule msanii w....., walilipoti polisi, na wakahakikisha hazipatikani huko telegram na kwenye mitandao mingine ya kijamii, Maisha yao yanaendelea kana kwamba hakujawahitokea hiyo kitu ya kuvuja.
 
Umenikumbusha enzi zile za Facebook ndiyo inaanza Anza Miaka hiyo.

Kuna jamaa akamwambia demu wake aliyemtongoza huko fb amtumie picha yake ya mbususu,bibie kwa ushamba badala ya kutuma messenger akaweka profile ili mwamba aione. Baada ya kuweka mbususu profile picha kwa kujiamini akamtext jamaa tayari nimeshakutumia,jamaa akauliza iko wapi mbona siioni!? Dada wa watu akajibu angalia kwenye fb yangu.

Jamaa akakuta likitumbua alilotumiwa limejaa kwenye profile na watu wanatiririka kulaani "sasa ndiyo ujinga gani huu". Akamrudia demu wake "bibie futa haraka hiyo picha umeweka sehemu siyo, watu wanaona"

Wenge la demu badala ya kufuta picha si akalog out kwa kudhani ndiyo hataonekana. Mitandao hi hii tumetoka nayo mbali Sana.
Hatari sana.
 
Kama ni mtu wa kufanya mambo ya giza lazima uogope lakini ukiwa katika Kristo Yesu huwezi ogopa huna muda wa kwenda Lodge wala wala kuzini zini
 
Nakumbuka ilitokea mwaka wa kwamza kwenda mwaka wa pili kuna demu class alizinguana na mshkaji wake yule jamaa alituma video za yule akiwa ana suck di<k na nyingine akiwa anaikalia. Yan kila member aliyekuwepo kwenye group la class alitumiwa ile video.
 
Back
Top Bottom