Kuna haja ya kudhibiti picha na video zisizo na maadili mtandaoni

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Kumekuwepo na ongezeko la picha zisizo na maadili mtandaoni.Yaani unakuta mtu kapiga picha kaacha maungo wazi anairusha mtandaoni bila kujali maadili ya mtanzania.Kwa sasa kuna mtandao ambao sitautaja jina ila kusema ukweli huwezi ukaperuzi ukiwa katika mijumuiko mfano kwenye gari au eneo lenye watu wengi kwani muda wowote yaweza tokea picha ya ajabu na aibu ikakupata.Si picha tu bali kuna vijivideo vinavyoonesha kwa dakika chache baadhi ya mitandao n maarufu kama "reels"Unakuta video inacheza haina maadili haifutwi wala kufutikaJamani n htar.
#Si hivyo tu yapo maneno ambayo yameshamiri sana mtandaoni ambayo hayana maadili mara utakuta mtu tena maarufu tu eti kaandika
"Kama uwanja ni mkubwa,cheza round Moja" then utasikia (elewa muktadha)
HIVI KWELI TUNAJENGA KIZAZI CHA NAMNA GANI? IKIWEZEKANA MAMBO YA NAMNA HII YADHIBITIWE KABLA YA KURUKA HEWANI
#MFANO PAWEPO NA NAMNA YA KUMODERATE MAUDHUI KABLA YA KURUKA HEWANI
 
Ss mkombozi n nani ktk hili mkuu maana wanakwambia wanaendaa na fashion ....
 
#MFANO PAWEP
Raha kwetu kero kwako
 
Kama ni watu wazima achana nao, fuatilia maisha yako waachie watu maisha yao.
 
Nunua kitochi ili usiathirike
 
Back
Top Bottom